Mbona mnaishusha hazi miji ya tz hivo, kisii labda kidoogo inaikaribia chalinze au kibiti.Kisii fananisha na shinyanga au mtwara
Show us how people live in turkana, the Elgon side and Moyale first and come back and compare.Hahaha. .....wewe ni bhangi we huvuta.........Tanzania is not an LDC by mistake. I have travelled to Northern Tanzania and let me not comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lolote, tena Kwenye hivi vimji ambavyo wazungu hawakupanga pako ovyo sana, waoneshe mtaa wowote hapo Kisii uliokwenda hata mita mianane muone uharo, njia pekee ni hii ya kutoka Migori to Narock - Nairobi via Maimai, pamoja na ile inayoelekea Kisumu.
Sawa sawa kabisa, hawa jamaa hawatuwezi hata chembe na hivo Dodoma nayo imeanza kutanua muscles wataisoma nambaKisii ni kijiji flani kiko katikati ya migori, kisumu na nakuru
so beautiful to see dar vs all towns of kenya.leteni sasa battle ya ARUSHA VS KISII
by the way,one of your compatriot,is insisting for a new battle between dar city vs all towns of Kenya.Tanzania has very small towns ati cities....dar inaitwa city na 90% ya mji ni uswahili houses na slums. ..nkt.
leteni sasa battle ya ARUSHA VS KISII
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Wajamaa wanaita kila mji city....sikljui wanaangalia vigezo gani kuziita city..labda population.huhuhu
by the way,one of your compatriot,is insisting for a new battle between dar city vs all towns of Kenya.
it is so amazing to see one city from one country is forced to compete with all cities of another country in one thread.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]