Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako ni ujinga na ujuaji na hujui kitu.
Eti managing director! [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua unaogopa ukweli but the truth will be there for everybody to see. Kama huyo jamaa sio manager then tuambie manager was hiyo complex ni nani. Wewe ni hasara tu Kwa familia yako 😂😂
 
Most urbanized indeed. Mbeya City😂👇

 
Sasa shida Tanzania haijapiga hatua yoyote kimaendeleo😂😂😂

 
Najua unaogopa ukweli but the truth will be there for everybody to see. Kama huyo jamaa sio manager then tuambie manager was hiyo complex ni nani. Wewe ni hasara tu Kwa familia yako [emoji23][emoji23]

Nilivyo kuumbua inaonekana umeumia sana.
Yaani wewe kazi yako humu ni kupotosha na kudanganya tu!
Yaani hampendi kabisa kukutana na vikwazo mnavyo danganya na kupotosha.
Utawadanganya wakunya wenzako ila sio Watanzania.

Eti managing director ni mkunya! [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Hata huelewi kitu umeunderline.😂😂😂.
 
Nimestudy Wakunya humu miji ya Dodoma na Zanzibar wameamua waachane nayo kabisa, miji yote mikubwa Tanzania wameshaishindanisha na vijiji vyao ila hii miwili hata kuigusa hawaigusi

Hivyo tuna wachezaji machachari wawili wa akiba bench 😅😅😅
 
Sasa shida Tanzania haijapiga hatua yoyote kimaendeleo[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2216289
Unajua maana ya maendeleo?
1)Political stability
2)Peace
3)Unity
4)Non racial/tribe or any type of segregation
5) Equal society
6) Togetherness

These parameters form big part of development, nor country can reach sustainable development without these.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza siongei na vichaa,pole
Ila kichaa anaye acha IKULU na kwenda machakani kunya [emoji90][emoji90]maporini akitengeneza muvi huyo unaongea naye
 
Wajinga Sana haya majamaa, kupenda kujikweza wakati hawana wanachojua

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Are you talking about the same Zanzibar which Lamu gave thorough beatings?
 
Wivu na inferiority complex. Yani majamaa wapo hapo wameng'ang'ana vile phrase pia iko Tz na hivyo ndio vitasa eti.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Issue hapa sio phrase but Nala company is a Tanzanian Company Kenyans wanasema ni ya kenya kwenye twitter. Ushamba umewazidi mkiona kiswahili tuu huko nje mnafikiri ni juhudi za Kenya you always think about yourselves first very selfish hii ndio ilipelekea the first EA community kufa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…