Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeshakuambia kama ni wewe umesema mimi sina shida cause I know some people are created to amuse others.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Zimbabwe is richer than Tanzania.

Screenshot_20220506-180218.png
 
Narudia tena, hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Kenya ikakosa kuwepo Zimbabwe ila kuna infrastructures zipo Tz huwezi kuzipata East and Central Africa wala Zimbabwe anayebisha twende kazi.
 
Halafu tuendelee na hapa pia nataka ufanye analysis yako see link below halafu utupe jibu for the benefit ya wote.

View attachment 2214143

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Gdp ya Zimbabwe naona imeshuka sana in the last 2 to 3 years. Sijui ni madhara ya covid 19 au nini? Walikuwa na gdp per capita kubwa ila sasa naona imeshuka. Kwa sasa mnawatoa kamasi kulingana na hio country comparison niliyoisoma. Hamna haja ya mimi kufanya comparison kwa maana naona mumeshinda kwenye hio comparion. Ila najua hutaki kufanya comparison ya KE vs TZ.
 
Zimbabwe is a middle income country, Tanzania is not.
Ebu twende na unahalisia bwana Tony 254 , kweli kabisa mnawazidi kiuchumi N.Korea?
Ninaweza kukubaliana na wewe kwamba kwenye Internet imeandikwa hivyo ni sawa, ila kiukweli hawa jamaa wako juu lasivyo wangeshapigwa na kutoweshwa kwenye ramani ya dunia .
Fikiria vikwazo walivyonavyo, fikiria vingekuwa vimewekwa kwa nchi zetu za Kiafrika tungeweza kusurvive kweli pasipo uchumi kusambaratika?
Angalia Libya walikuwa wana maisha mazuri sana, uchumi wao ulikuwa mzuri lakini walivyomeseup tu na nchi za Magharibi Gaddaf akaondolewa madarakani na mpaka leo hii wanataabika. Waliomtoa ni nchi za Magharibi na siyo walibya wenyewe.
Okay.Naondoa neno uongo. Kumradhi kwa hili kwasababu umetumia Internet,tuje Iraq uchumi wao ulikuwa vipi kipindi cha Saddam Hussein, pia aliondolew vile vile.
Sasa huyu Korea Kaskazini ni nini ambacho kinawafanya hawa Westerners na US kuto kumuondoa? Na mbona uchumi wake haushuki kabisa mpka aombe msaada kwao.?
Usije ukasema analindwa labda na Uchina au Mrusi.
Wewe ni mwana uchumi mzuri ebu naomba unieleweshe vizuri kama vile ambavyo unaweza kumfunza mwanafunzi wako au mtu yoyote asiyeelewa mambo haya.Kwasababu kupigana vita kunahitaji uwe vizuri kiuchumi, sishabikii vita na siipendi ila hapa tunaitumia kama mfano tu,EU iliproject kwamba Russia kama atatumia siku 10 katika hii vita basi uchumi wake utakufa lakini mpaka leo hii inakaribia siku 90 bado anadunda na wakasema karibu kila siku anatumia shilingi tlioni 60 kugharamia vita, ebu fikiria sisi hapa Afrika tupewe pesa ya siku moja tu tutatatua mambo mangapi yanayotukabiri?? Ushabiki tuweka pembeni ndg, niko tayari kupata maarifa mapya kutoka kwako. Ahsante.
 
Back
Top Bottom