Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When it comes to development, Tanzania is bottom. Lakini ikifika Kwa uchawi, weee!!!

View attachment 2214201

View attachment 2214203
Hii haitabadili ukweli kwamba hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Kenya ikakosa kuwepo Zimbabwe lkn kuna infrastructures zipo Tz huwezi kuzipata East and Central Africa wala Zimbabwe, najua inauma ila accept the truth zen move on Bwana Mapesa
 
Kweli kabisa, tena mbaya zaidi imejengwa na waafrika wenyewe wala sio wachina aisee tuna safari ndefu mno.View attachment 2214145View attachment 2214146View attachment 2214147View attachment 2214148View attachment 2214150View attachment 2214151
Iko wapi bicycle lane, iko wapi pedestrian lane, iko wapi footbridges, mbona wanaweka zebra crossing kwa highway, mbona exit lanes ziko narrow.?? Hio Barabara imejengwa vibaya sana na unajua hilo.
IMG_20220506_172841_601.jpg
 
Hii haitabadili ukweli kwamba hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Kenya ikakosa kuwepo Zimbabwe lkn kuna infrastructures zipo Tz huwezi kuzipata East and Central Africa wala Zimbabwe, najua inauma ila accept the truth zen move on Bwana Mapesa
Nendeni mkashindane na South Sudan Kwa infrastructure 😂😂👇👇

IMG_20210712_220639.jpg
 
Gdp ya Zimbabwe naona imeshuka sana in the last 2 to 3 years. Sijui ni madhara ya covid 19 au nini? Walikuwa na gdp per capita kubwa ila sasa naona imeshuka. Kwa sasa mnawatoa kamasi kulingana na hio country comparison niliyoisoma. Hamna haja ya mimi kufanya comparison kwa maana naona mumeshinda kwenye hio comparion. Ila najua hutaki kufanya comparison ya KE vs TZ.
Kuna sehemu nimejibu kwa Teargas badala yako.Lakini siyo mbaya kama utapitia unaweza kusoma na kunipa majibu.Samahani.
 
Ebu twende na unahalisia bwana Tony 254 , kweli kabisa mnawazidi kiuchumi N.Korea?
Ninaweza kukubaliana na wewe kwamba kwenye Internet imeandikwa hivyo ni sawa, ila kiukweli hawa jamaa wako juu lasivyo wangeshapigwa na kutoweshwa kwenye ramani ya dunia .
Fikiria vikwazo walivyonavyo, fikiria vingekuwa vimewekwa kwa nchi zetu za Kiafrika tungeweza kusurvive kweli pasipo uchumi kusambaratika?
Angalia Libya walikuwa wana maisha mazuri sana, uchumi wao ulikuwa mzuri lakini walivyomeseup tu na nchi za Magharibi Gaddaf akaondolewa madarakani na mpaka leo hii wanataabika. Waliomtoa ni nchi za Magharibi na siyo walibya wenyewe.
Okay.Naondoa neno uongo. Kumradhi kwa hili kwasababu umetumia Internet,tuje Iraq uchumi wao ulikuwa vipi kipindi cha Saddam Hussein, pia aliondolew vile vile.
Sasa huyu Korea Kaskazini ni nini ambacho kinawafanya hawa Westerners na US kuto kumuondoa? Na mbona uchumi wake haushuki kabisa mpka aombe msaada kwao.?
Usije ukasema analindwa labda na Uchina au Mrusi.
Wewe ni mwana uchumi mzuri ebu naomba unieleweshe vizuri kama vile ambavyo unaweza kumfunza mwanafunzi wako au mtu yoyote asiyeelewa mambo haya.Kwasababu kupigana vita kunahitaji uwe vizuri kiuchumi, sishabikii vita na siipendi ila hapa tunaitumia kama mfano tu,EU iliproject kwamba Russia kama atatumia siku 10 katika hii vita basi uchumi wake utakufa lakini mpaka leo hii inakaribia siku 90 bado anadunda na wakasema karibu kila siku anatumia shilingi tlioni 60 kugharamia vita, ebu fikiria sisi hapa Afrika tupewe pesa ya siku moja tu tutatatua mambo mangapi yanayotukabiri?? Ushabiki tuweka pembeni ndg, niko tayari kupata maarifa mapya kutoka kwako. Ahsante.
Hapa nilikuwa naongea na bwana Tony254.Haukuwa wa kwako bila shaka atapitia na kuona. Very sorry for my confusion sir.
 
I think this is the ugliest bus on earth. 😛 🤣 😁


Wee bricks and mortar engineer nilikuonya usipanue mdomo wako kwenye vitu ambavyo huvijui.
Slum na unplanned settlements are not the same.
Mimi na wewe nani afundishe mwengine kiingereza? Alafu nimepost shanty town unaongelea unplanned settlement, hivi wewe msee wa mortuary kichwa yako huwa sawa?
 
Gdp ya Zimbabwe naona imeshuka sana in the last 2 to 3 years. Sijui ni madhara ya covid 19 au nini? Walikuwa na gdp per capita kubwa ila sasa naona imeshuka. Kwa sasa mnawatoa kamasi kulingana na hio country comparison niliyoisoma. Hamna haja ya mimi kufanya comparison kwa maana naona mumeshinda kwenye hio comparion. Ila najua hutaki kufanya comparison ya KE vs TZ.
At least you are honest we can debate fruitfully. But for WB to say in 2021 that Kenya is worse than Zimbabwe even with wanning economic prospects ya Zimbabwe hapo imekaaje? Au WB ni waongo?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom