Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi South

1651842897077 .jpg


1651842901652 .jpg


1651842899371 .jpg
 
sikilizen hii.. walikula sawa na urefu wa kamba zao


Usisahau kwamba Kazi hiyo ilifanywa na yule mjeda wa Magufuli ndio maana Rais Samia kamtumbua,watu wanasema apelekwe kwenye court ya kijeshi..

Kila sehemu Dhalimu aliweka sukuma gang wenzie kimkakati Ili kuratibu upigaji..

Bado Masanja kadogoasa kuwadi wa Yapi Merkez.
 
Acha watu watafune pesa za uviko izo si wanafanya kazi kutoka moyoni sio kwa kumuogopa mtu 😅😅😅 sasa vitisho tena vya nn
Sukuma gang mna Hali mbaya,lazima ujue hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya CAG ya mwaka 2020/2021.

Rais keshamtimua mteule wa Mwendazake yule mjeda.
 
Yaani hapa walipiga kweli kweli kwa urefu wa kamba hao, na hawatafanywa chochote, hili ni eneo moja bado yapo mengine kama haya.

Ukianza kuongea vitu kama hivi unaambiwa leta ushahidi, sasa hiki ni nini si ni ushahidi tosha huu?

Watendaji wanabembelezwa kwa lugha laini sana maana huu ni utawala wa kidemokrasia aliyekuwepo ni dikteta. Sawa ngoja tuone mwisho wake utakuwaje.
Hii sio serikali ya kutishia kuua,ukileta tuhuma weka ushahidi,,hili Lina ushahidi serikali imechukua hatua na Wala sio Hawa tuu kuna sehemu kibao za hivi wamechukuliwa hatua..

Ushauri na wewe kajipigie kwa urefu wa kamba yako uone moto..
 
but niliona mahali Samia anataka kubadilisha hizo sheria 'kandamizi' za wanahabari
Watazibadilisha nyingi tuu,tena juzi wanahabari walisema Samia ni mkuu wa kwanza wa Nchi kuhudhuria siku ya uhuru wa habari maana wengine huwa wanakimbia.

Wengine Hawa huku wameanza kuogopa media kama yule wa awamu ya 5 aliyesema anatamani malaika washuke wazime mitandao 😬😬😬

Screenshot_20220505-190508.png
 
Hii sio serikali ya kutishia kuua,ukileta tuhuma weka ushahidi,,hili Lina ushahidi serikali imechukua hatua na Wala sio Hawa tuu kuna sehemu kibao za hivi wamechukuliwa hatua..

Ushauri na wewe kajipigie kwa urefu wa kamba yako uone moto..
Mimi sikufundishwa kuiba tangu utoto wangu hadi uzima huu nilichonacho kidogo nimeridhika.Ushahidi gani unautaka wakati unaona watu wanaenda kuhojiwa. Vipi kama tusingesema? Au hutaki malalamiko jamaa?

Tutatoa sana tuhuma na nyinyi mtakuja kupinga huku watu wakiwajibishwa. Kila saa toa ushahidi wakati unasikia mahali kwingine kuna malalamiko.

Tunaposema ni wajibu wa serikali kufuatilia kujua kiini ni nini na wala siyo kuanza kipinga pinga tu kila kitu.
 
Hata awamu ya 5 kuna barabara mzee alienda izindua nyanda za juu kisini ilikua kama 70km hv kwa 200+ billions hadi mzee akahoji lakini ilipita kimya kimya...sishabikii wizi lakini raisi anapigwa kule moyo wake unapodundia
Yule Rais wenu alikuwa ni mihemko ya kisenge tuu,mimi Niko kwenye sekta za barabara nafahamu cost zinategemea na terrains..

Barabara unayoisemea ni inatoka Tunduma/Mpemba kwenda Isongole karibu na mpaka wa Malawi km 50..

Barabara ilijengwa kwa asphalt concrete,km 10 ni 4 lanes ila haina grade seperations bali imefanyiwa marking tuu..

On top of that inapita eneo ambalo ni bonde sehemu kubwa kwa hilo fill na drainages zilikuwa nyingi Sana hapo kwa nini isiwe na gharama?
 
Kwani ni siri kwamba Kenya imeipiga North Korea?

North Korea ina gdp per capita ya $1,300 ambayo ni sawa na gdp per capita ya Tanzania.
View attachment 2213958


Tukija kwenye gdp, North Korea ina gdp ya $28.5 billion ambayo ni ndogo kushinda gdp ya Uganda. Na gdp ya North Korea ×3 bado haifikii gdp ya Kenya.
View attachment 2213961
Kwanza Wana njaa,watakula makombora ya Kim 👇

Screenshot_20220504-221600.png
 
Usisahau kwamba Kazi hiyo ilifanywa na yule mjeda wa Magufuli ndio maana Rais Samia kamtumbua,watu wanasema apelekwe kwenye court ya kijeshi..

Kila sehemu Dhalimu aliweka sukuma gang wenzie kimkakati Ili kuratibu upigaji..

Bado Masanja kadogoasa kuwadi wa Yapi Merkez.
Hapa hakuna cha Magufuli wala Kikwete au Samia wote wanaobainika kuiba, kufuja au kukwamisha miradi ya maendeleo wawajibishwe sawa sawa na makosa yao, mkiwa mnawataja wahalifu msijifiche kwenye mgongo wa wastaafu tafadhali, kila kazi ina taratibu na kanuni zake.
 
Back
Top Bottom