Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afrika bado tunasafari ndefu sana,🙄
IMG_20220506_172841_601.jpg
 
Unataka source ya nini wee? Nakupa Google maps image na unaitisha source? Mibongo mijinga.
Ukitaka kumuaminisha mtu kitu lazima u cite scholarly article from reliable source. Sasa hata mimi naweza nikachukua picha kama hizo Haiti nikasema ni Kenya.

On the other note may be naongea kwa level ya juu sana ambayo huwezi kuelewa due to your poor education system nisamehe bure tuu plz.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hata mimi nimebaki kinywa wazi.Hivi zile tu ballistic missiles wanazotengeneza na kuzifanyia majaribio kila mara zinacost shilingi ngapi moja tu?
Je wanazo ngapi.
Teknolojia yao ya ulinzi ikoje, mbona nchi nyingine ambao ni mahasimu wao hawasogezi pua kama wako weak kihivyo wakati wenyewe Alshabaab anawatesa kila uchao?

Kweli kuwa mkenya ni kipaji cha majigambo na uongo uliokithiri!!
Uongo gani na nimeweka source ya data yangu? Nimepost source kwamba N. Korea wana gdp ya $28.5 billion. Sasa nimedanganya wapi na hii ni data inayopatikana kwenye internet na mtu yeyote mwenye simu anaweza kuisoma hio data? Sasa uongo inatokea wapi hapo? Sema hutaki kukubali data niliyoweka lakini usiseme kwamba nimedanganya. Ni kawaida yenu kukataa data isiyowa-favour. Hakuna jambo jipya hapo.
 
Nimekuambia nenda kagoogle gdp per capita ya Zimbabwe kisha uje tuendelee na battle. Usidhani Zimbabwe ni rika yenu eti kwa sababu walikuwa na matatizo ya inflation. Zimbabwe sio rika yenu.
Halafu tuendelee na hapa pia nataka ufanye analysis yako see link below halafu utupe jibu for the benefit ya wote.

Screenshot_20220506-175202_Opera.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kumuaminisha mtu kitu lazima u cite scholarly article from reliable source. Sasa hata mimi naweza nikachukua picha kama hizo Haiti nikasema ni Kenya.

On the other note may be naongea kwa level ya juu sana ambayo huwezi kuelewa due to your poor education system nisamehe bure tuu plz.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Someone who demands a source for a google maps image should never ever mention 'level ya juu' in hus statements.
 
Back
Top Bottom