Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toyota Tanzania does not assemble any of its cars in Tanzania. Toyota Kenya assembles some of its cars in Kenya. Itabidi mbadilishe sheria ili assembling ianze kufanyika Tanzania. Sisi tulibadilisha sheria ili kuondoa import duty on knock down kits. Imported cars zilikuwa zinatozwa import duty ya 25%, excise duty ya 20% na VAT ya 16% lakini ushuru huu wa import duty on knock down kits ulipo ondolewa basi many brands na sio Toyota tu, zikaamua kuassemble Kenya ili kuavoid kulipa hio 25% import duty.
Kitu kingine, Waziri wa fedha aliposoma budget mwaka huu alipropose kuondoa hio 20% excise duty na 16% VAT on knock down kits. Sasa ikiwa hizi ushuru mbili zitaondolewa pia basi tofauti kati ya watu wanaoimport finished cars na local assemblers itakuwa kubwa sana kwa maana wanaoimport finished cars lazima bado walipe hio 25% import duty, 20% excise duty na VAT ya 16% ilhali assemblers hawatalipa tax hizi tatu. Soma zaidi hapa na mbadilishe sheria zenu pia. Kulingana na hii article, 70% ya magari mapya yanayouzwa Kenya ni locally assembled na only 30% ya magari mapya ndio imported.

Chochote kinachofanyika Kenya ni sahihi kwahiyo nchi zote zinapaswa kuiga Kenya, hamtokaa muelewane na jirani yenu hata mmoja tunawahakikishia, " You r are perfect people always".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
You know all names of our musicians, that is enough to show that Tanzania dominates Kenyan households

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The musicians themselves sell their music and brand here, no big deal, it's like saying the way the world knows our athletes even more than us ourselves we dominate the world households
 
Been watching you all argue about this thing... Just wondering in my mind can't anyone tell them the difference between assembling and modification.
But you've forgotten that you fabricate buses and cleam you're making them
 
How can you call it car maker while the only thing they make here is the body? The chasis they used an old caravan chasis, everything else is bought, they buy tires separate, lights separate and everything else the only thing they do is welding
Even general motors and any automotive makers don't produce everything within their capacity.
 
Mbona chassis imeoza namna hii? Hii sio chassis ya gari mpya, hii ni chassis ya gari nzee iliyooza ndio inakuwa converted into a safari car. Gari kama hii siwezi kuipanda kwa jinsi ilivyooza kwa usalama wangu barabarani. Chassis imejaa kutu. Hii gari itauwa tourists barabarani.
 
Halafu tazama hio tyre kwenye picha ya tano jinsi ni chafu? Hio sio tyre mpya. Nyie mna upuuzi sana. Hii kutumia tyre na chassis mtumba yaani vitu second hand ndio unaiita assembling? Kuja Kenya uone jinsi kila kitu kwenye assembly plants zetu ni mpya.
Soma hapa chini

But you've forgotten that you fabricate buses and cleam you're making them
We don't fabricate busses. We import knock down kits from SA, Japan and Germany and then assemble them in Kenya. Kila kitu tunachoimport ni mpya na inakuja straight from the factory. Sisi hatutumii chassis iliyooza kama nyinyi.
 
But you've forgotten that you fabricate buses and cleam you're making them
Kwa habari yako hatutozi ushuru kwenye knock down kits, tunatoza ushuru kwenye finished car pekee ndio maana brands zimeamua kuassemble magari yao Kenya ili kuepuka kulipa ushuru. Knock down kits inafanana hivi na inatoka straight from the factory. Kila kitu ni mpya na hatutumii chassis iliyooza huku.

1651468317303.png
 
Mbona chassis imeoza namna hii? Hii sio chassis ya gari mpya, hii ni chassis ya gari nzee iliyooza ndio inakuwa converted into a safari car. Gari kama hii siwezi kuipanda kwa jinsi ilivyooza kwa usalama wangu barabarani. Chassis imejaa kutu. Hii gari itauwa tourists barabarani.
Huipandi wewe lakini kila Mzungu anaekuja Kenya lazima aipande
 
Kwa habari yako hatutozi ushuru kwenye knock down kits, tunatoza ushuru kwenye finished car pekee ndio maana brands zimeamua kuassemble magari yao Kenya ili kuepuka kulipa ushuru. Knock down kits inafanana hivi na inatoka straight from the factory. Kila kitu ni mpya na hatutumii chassis iliyooza huku.

View attachment 2208194
Unavyosema Brands unamaanisha nini? 🤔
 
Unavyosema Brands unamaanisha nini? 🤔
Punguza ushamba. Vehicle brands ni kama Peugeot, Isuzu, Toyota, Volkswagen na kadhalika. Zote hizi zimeamua kuassemble magari yao Kenya badala ya kuimport ili kuepuka kulipa ushuru ili wapate faida nono. 70% ya gari mpya zinazouzwa Kenya zipo assembled Kenya. Assembly plants zimeajiri maelfu ya watu kufanya kazi ya kuunganisha magari yaliyoimportiwa yakiwa vipande vipande.

Screenshot_20220502-082903.jpg
 
Halafu tazama hio tyre kwenye picha ya tano jinsi ni chafu? Hio sio tyre mpya. Nyie mna upuuzi sana. Hii kutumia tyre na chassis mtumba yaani vitu second hand ndio unaiita assembling? Kuja Kenya uone jinsi kila kitu kwenye assembly plants zetu ni mpya.
Soma hapa chini

Yaani hii industry ni popular Tanzania mpaka anyone can do that and increasingly become common due to Kenya's massive demand

Note, that vehicle is insanely expensive than passenger bus of. Kenya
 
Punguza ushamba. Vehicle brands ni kama Peugeot, Isuzu, Toyota, Volkswagen na kadhalika. Zote hizi zimeamua kuassemble magari yao Kenya badala ya kuimport ili kuepuka kulipa ushuru ili wapate faida nono. 70% ya gari mpya zinazouzwa Kenya zipo assembled Kenya. Assembly plants zimeajiri maelfu ya watu kufanya kazi ya kuunganisha magari yaliyoimportiwa yakiwa vipande vipande.

View attachment 2208223
Nilifikiri zile brands za mabasi ya Scania, Benz, Isuzu na Canter kumbe unaongelea hizo Volkswagen 12 mnazozalisha kwa mwaka
 
Back
Top Bottom