Kama Wakenya wengi ni masikini wa kutupwa kama unavyosema basi iweje bodies zote tajika duniani zinakubaliana kwamba Kenya ndio nchi tajiri zaidi ukanda huu? Nazungumza kuhusu IMF, World Bank, UN, OECD, CIA na kadhalika? Whether unataka kutumia gni per capita, Kenya ina gni per capita ya
$2,200 wakati nyie mna gni per capita chini ya $1,200. Mumetoka Ldc juzi tu.
Ukiamua kukimbilia kwenye HDI huko pia tunawapiga kama mbwa kwa maana kwa mujibu wa UNDP Kenya ina HDI ya juu kushinda Tanzania.
Sasa huo utajiri wenu ulioshinda wa Kenya unatokea wapi? Tukiangalia data strictly na tuweke ushabiki kando basi Kenya imewashinda kwenye metrics nyingi za kiuchumi. Ila kwa sababu data inaonyesha Kenya ipo mbele yenu kwenye mambo haya, inawabidi mpuuze data na kusema kwamba data hio ni ya kwenye makaratasi ili kufurahisha nafsi zenu. Ila hata investors wanaosoma hizi data wanajua kwamba Kenya ipo more developed than Tanzania kwenye mambo mengi.
Hio ndio maana makampuni mengi tajika zinakimbilia Nairobi na hata zimeanza kususia South Africa kwa kiasi fulani. Google kwa mfano ilisusia kuanzisha ofisi yake ya kwanza ya research barani Afrika huko South Africa na kuamua kulianzisha Nairobi. Kwenye Twitter naona watu wa South Africa wanahisi wivu sana kwa kitendo cha Google kuchagua Kenya. Amazon, Microsoft, Oracle, IBM na other tech giants zimeanzisha their African office in Kenya. Endeleni kuamini kwamba Kenya ni size yenu ila data inaeleza wazi ni nchi gani ina a more developed economy kati ya hizi mbili. Haiwezekani kwamba kila international organisation tajika inakubali kwamba Kenya imewashinda kwenye haya mambo halafu nyinyi mpinge. Mnapinga kama nani?