Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi bwawa la nyerere? Ninmkopo wa nani? Au ndio tukiuliza tunaitwa sukuma geng hata km hatuja toka huko?
Naomba nikulize kitu, km mama ndio angeshinda 2015, mradi km wa bwawa la nyerere ungekuwepo? Vipi kusu SGR ya umeme ? Naomba nijib bila feelings....
Namini private sector kwa kipindi hichi itakuwa vyema, ilidorora
Bwawa la nyerere nadhani lisinhejengwa kwa sababu kadhaa singependa kuzitaja...Haya ilo bwawa hatujakopa lakini ukizungumzia miradi mingi inahusisha mikopo ....Mama angeshinda 15 kwa style yake nadhani mambo kadhaa tungechelewa...bahati yake kakuta Chuma kashatoboa miamba migumu ndio maana anaserereka....Sitegemei apuyange kwani mambo mengi ameshajifunza kwa tawala zilizopita
 
Yupo humu anaejiita Simon amesema yuko Tanesco mwambie akupe data za peak demand sio peak hours..

Hata hivyo siku Tanesco na Makamba wanahojiwa walifanya demonstrations ya Takwimu hizo ndio maana Nika attach maelezo yao hapo juu..
Sasa ilipaswa huyo Simon ndio azungumze hayo kwasababu yeye yupo TANESCO Kama kweli anazo hizo data, wewe itakua vigumu kueleweka.

Kuhusu Makamba huko Bingeni tumemsikiliza, zaidi ya kuzungumzia matatizo ya kiufindi na kuchakaa kwa miundombinu ya umeme, hajazungumzia lolote kuhusu kuongezeka kwa uzalishaji, sio kazi ya TANESCO Wala hawezi kujua lolote kuhusu ongezeko la uzalishaji, wao wanachojua ni kuhusu ongezeko la matumizi tu.

Mkuu, mahitaji ya umeme Tanzania hadi Sasa ni 1400MW, na uzalishaji wa umeme ni 1700MW, maana yake tunazalisha umeme zaidi ya mahitaji yetu, kwahiyo hakuna peak demand inayozidi au kufikia 1700MW, kwahiyo tatizo lipo kwenye usambazaji hasa kutokana na TANESCO wenyewe kushindwa kugundua matatizo mapema katika njia za usambazaji na kuzirekebisha kabla tatizo halijatokea.

Magufuli alifanikiwa Sana kuwafanya wafanyakazi wa serikali kuwa "proactive" badala ya kuwa "reactive" katika utendaji wa kazi, ndio sababu umeme kipindi chake ulikua haukatiki mara kwa mara, wafanyakazi waliokua wanaogopa kushitakiwa kwa Magufuli kupitia safari zake za ghafla nchi nzima, hivi Sasa wafanyakazi wameanza tena kujisahau

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bwawa la nyerere nadhani lisinhejengwa kwa sababu kadhaa singependa kuzitaja...Haya ilo bwawa hatujakopa lakini ukizungumzia miradi mingi inahusisha mikopo ....Mama angeshinda 15 kwa style yake nadhani mambo kadhaa tungechelewa...bahati yake kakuta Chuma kashatoboa miamba migumu ndio maana anaserereka....Sitegemei apuyange kwani mambo mengi ameshajifunza kwa tawala zilizopita
Mama akisema mlikopa just accept and move on.

Screenshot_20220403-133225.png
 
Hey warthog, do you know better than your president? Akisema mlikopa then mlikopa, and that will remain the truth.
The same president said that Tanzania is no longer a middle income country, it was demoted back to LDC group, one month later, the same president says Tanzania is back to Middle income country

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ilipaswa huyo Simon ndio azungumze hayo kwasababu yeye yupo TANESCO Kama kweli anazo hizo data, wewe itakua vigumu kueleweka.

Kuhusu Makamba huko Bingeni tumemsikiliza, zaidi ya kuzungumzia matatizo ya kiufindi na kuchakaa kwa miundombinu ya umeme, hajazungumzia lolote kuhusu kuongezeka kwa uzalishaji, sio kazi ya TANESCO Wala hawezi kujua lolote kuhusu ongezeko la uzalishaji, wao wanachojua ni kuhusu ongezeko la matumizi tu.

Mkuu, mahitaji ya umeme Tanzania hadi Sasa ni 1400MW, na uzalishaji wa umeme ni 1700MW, maana yake tunazalisha umeme zaidi ya mahitaji yetu, kwahiyo hakuna peak demand inayozidi au kufikia 1700MW, kwahiyo tatizo lipo kwenye usambazaji hasa kutokana na TANESCO wenyewe kushindwa kugundua matatizo mapema katika njia za usambazaji na kuzirekebisha kabla tatizo halijatokea.

Magufuli alifanikiwa Sana kuwafanya wafanyakazi wa serikali kuwa "proactive" badala ya kuwa "reactive" katika utendaji wa kazi, ndio sababu umeme kipindi chake ulikua haukatiki mara kwa mara, wafanyakazi waliokua wanaogopa kushitakiwa kwa Magufuli kupitia safari zake za ghafla nchi nzima, hivi Sasa wafanyakazi wameanza tena kujisahau

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sipendi kujitungia maelezo na Maoni binafsi nimekupa maelezo ya Makamba na watendaji wa Tanesco..

Na zaidi nikakwambia Muulize huyo wa Tanesco alete majibu hadi saizi hakuna majibu analeta so majibu yanasalia kuwa ni Yale ya serikali kupitia Waziri,sasa kama unabisha tupe ya kwako..

Hiyo pro active ni ipi ikiwa Makamba amesema systems za usambazaji hazikuwa zinafanyiwa repairs na Kwa kuwa mahitaji ya umeme yalikuwa madogo kulikuwa na relief kwenye grid ndio maana umeme haukuwa unasumbua kinyume na Sasa ambapo mahitaji ya umeme yameongezeka zaidi..

Mambo ya pro active sijui reactive huwezi yathibitisha,ni mazingira yapi wanakuwa reactive na pro active...

Mimi binafsi nakubaliana na maelezo ya serikali Kwa sababu nimejionea huku niliko, umeme ulikuwa unasumbua Sana hadi waliponunua transfoma mpya na yenye uwezo zaidi umeme umeacha kusumbua na tuko off grid ..
 
How do you start comparing this mabati rolling mills that has a terminal the size of a cowshade and three local planes in front of it with JKIA? View attachment 2210881View attachment 2210883

airp.png

Ngoja nikutoe tongotongo kidogo, hii ni terminal 5 ya Heathrow airport, ujenzi ulikamilika 2008. Ujenzi wa kisasa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu siku hizi uko hivyo.
 
Mimi sitaacha kushangaa comment za kipumbavu kama hii...
1.Miradi mingi fedha ni za kukopa achambue kwani ilikua na ulazima gani?tanzanite Bridge hela 80%imetoka Korea,Sgr awamu ya pili na tatu wamekopa,Upanuzi wa bandari world bank, Kijazi interchange world bank,Brt phase ya pili mkopo,Kama ulitaka kujua umeshajua
2.Hajawahi kutakana apendwe na mtu mara zote amekua akisimamia haki na sheria basi
3.Kuhusu kuifafanisha US na Tanzania hapo emekurupuka kidogo.
Mlianza kumchukia huyu Mama bila sababu sasa mnaanza kuzitengneza sababu lakini bado hazina mashiko yoyote
Yani kuhusika na uhaini ni bila sababu ....mama ni adui wa uzalendo na yoyote aliye adui wa uzalendo ndiyo MUHUNI MWENYEWE, Kwani huku sikia IGP wa polisi alipo sema kuhusu ukatiri wa panya road na matumizi ya madawa ya kulevya kwani ujui wanaomiliki mfumo wa biashara ya ngada tz ni team msoga ....sasa madawa yamerudi na panya road , wewe ujiulizi mbona chadema wakitoa pua tu kuandamana au kufanya mkutana sekunde tu polisi zaidi ya 400 wanakuwa wameshafika na kuwa sambaratisha kwa marungu ila panya road wana funga mitaa hata kumi kwa zaidi ya masaa 6 hakuna hata polisi mmoja na simu ya polisi awapokei
 
Back
Top Bottom