Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

acha kuota wew.. link (website) ya KQ inaonyesha hiv
mtaacha lin uongo
View attachment 2211759
afu msituletee excuses eti hawajaupdate website mda mrefu.. ukienda hapo chin utakuta wamepost story ya juzijuzi tar 25 April 2022
Unaleta link alafu unaanza kujitetea hata kabla mtu akujibu😂😂😂, why are you so insecure? Now to tell you how stupid you are, do you know that KQ is no longer a member of Skyteam? Are you aware that KQ go Eldoret, Goma? They are not there. Those alone should tell you that your link is outdated 😂😂
 
ase ama kweli kumueleweshe au kuargue na chizi ni kujipa kazi (by Darassa)
wacha nipumzike nisubir UEFA

Halafu anaita ATCL anytime cancelation wakati naona hapa KQ inaongoza kupewa malalamiko kwa kucancel na kuharibu ratiba!
Tofauti yake na kondoo ni harufu tu.
 
ase ama kweli kumueleweshe au kuargue na chizi ni kujipa kazi (by Darassa)
wacha nipumzike nisubir UEFA
Jifunze kufanya proper research before posting things here, mambo ya half baked information achana nayo

 
eti broom? ebu usinimalize na kicheko teargass
They will ask you why they need planes to travel when they have brooms 😂😂😂

images - 2022-05-04T213154.342.jpeg
 
Mimi sitaacha kushangaa comment za kipumbavu kama hii...
1.Miradi mingi fedha ni za kukopa achambue kwani ilikua na ulazima gani?tanzanite Bridge hela 80%imetoka Korea,Sgr awamu ya pili na tatu wamekopa,Upanuzi wa bandari world bank, Kijazi interchange world bank,Brt phase ya pili mkopo,Kama ulitaka kujua umeshajua
2.Hajawahi kutakana apendwe na mtu mara zote amekua akisimamia haki na sheria basi
3.Kuhusu kuifafanisha US na Tanzania hapo emekurupuka kidogo.
Mlianza kumchukia huyu Mama bila sababu sasa mnaanza kuzitengneza sababu lakini bado hazina mashiko yoyote
Vipi bwawa la nyerere? Ninmkopo wa nani? Au ndio tukiuliza tunaitwa sukuma geng hata km hatuja toka huko?
Naomba nikulize kitu, km mama ndio angeshinda 2015, mradi km wa bwawa la nyerere ungekuwepo? Vipi kusu SGR ya umeme ? Naomba nijib bila feelings....
Namini private sector kwa kipindi hichi itakuwa vyema, ilidorora
 
Vipi bwawa la nyerere? Ninmkopo wa nani? Au ndio tukiuliza tunaitwa sukuma geng hata km hatuja toka huko?
Naomba nikulize kitu, km mama ndio angeshinda 2015, mradi km wa bwawa la nyerere ungekuwepo? Vipi kusu SGR ya umeme ? Naomba nijib bila feelings....
Namini private sector kwa kipindi hichi itakuwa vyema, ilidorora
Hey warthog, do you know better than your president? Akisema mlikopa then mlikopa, and that will remain the truth.
 
Simchukii namuambia ukweli.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuchukiwa na kuambiwa ukweli.
Ni mara ngapi nimeandika humu watu wamkosoe kwa adabu wasitumie lugha za matusi?
Ni mara ngapi nimekosana na watu humu kwa kuwaambia tu wakosoe kwa adabu?
Mihemuko peleka huko unakochezaga.
Mimi sina mihemko.Ila lazima niseme kama naona kuna la kusema
 
Back
Top Bottom