Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In sub Sahara Africa only Kenya and South Africa have hospitals dedicated entirely for children. Kenya again has now completed construction of a Hospital dedicated for women and children only. Hongera nchi yangu 👏 🤝 🇰🇪 , that's why we have the 2nd best healthcare in Africa.

Kenya Women and Children's Wellness Centre

9010005433_266f5e2da8_b.jpg

1651593200140-png.3150242

1651593223065-png.3150247
 
Heheheheeee alafu kuna mapunga wanafananisha na airport ya medieval era

Lile Gofu lilitutesa miaka hiyo ya 2000-2010. Enzi hizo tupo Skyscrapercity , ilikua hata ukilalamikia huduma mbovu za KQ unaambiwa panda ya kwenu. ***** leo ATCL inakamua international Flights kadhaa na tuna uwanja mzuri. Kweli anayecheka wa mwisho anacheka kwa sauti

IMG_6653.jpg

IMG_6654.jpg
 
Rais majalala , mjambiani mpumbavu .....chini ya kapeti inasemekana sgr imekwama kufanyiwa majaribio baada ya kugundulika kuwa kichwa cha umeme kilicholetwa ni kibovu kabisa sasa hivi kipo kwenye kalakana ya reli naonq kimeshindikana kutengenezwa hivyo wanataka kuagiza kingine kuna injinia wa sgr yetu kanitonya
Hapo nani alituingize cha Kike asee..

Mbona Habari za kusikitisha sana hizi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongolala, JKIA has two terminals. Terminal 1 is arranged in a semi-circular orientation and is divided into four parts: 1A, 1B, 1C, and 1E are used for international arrivals and departures while terminal 1D is used for domestic departures and arrivals. Terminal 2 is used by low-cost carriers. The part you've circled is Terminal 1A. Bado kuna 1B, 1C, 1D na 1E.
View attachment 2211488View attachment 2211490

Lastly, JKIA has an additional International Arrivals section next to Terminal 1A
View attachment 2211493

Number mtazidi kusoma however much it pains
Kwani JNIA haina terminals zaidi ya 1?

Hili ni boma la ng'ombe sio terminal 🤣

Screenshot_20220504-162841.png
 
Lile Gofu lilitutesa miaka hiyo ya 2000-2010. Enzi hizo tupo Skyscrapercity , ilikua hata ukilalamikia huduma mbovu za KQ unaambiwa panda ya kwenu. ***** leo ATCL inakamua international Flights kadhaa na tuna uwanja mzuri. Kweli anayecheka wa mwisho anacheka kwa sauti

View attachment 2211541

View attachment 2211543
Tangu lini routes sita za international zikawa "kadhaa"? 😂😂
 
The day Any Time Cancellation Limited will reach these heights kujeni tuongee

images (8).png
 
Kinachomuuma huyo mama ni wananchi kuendelea kumkumbuka JPM kwa hiyo ataongea chochote cha kipuuzi.
Yeye badala afanye mambo mazuri yupo busy kuongea mipasho kwa wanaomkumbuka JPM.

Yaani akitaka watu waache kukumbuka awamu iliyopita basi afanye vitu vizuri vya msingi vitakavyo mgusa mwananchi.

Mwezi uliopita alisema Tanzania haipo tena uchumi wa kati halafu jana tena akasema Tanzania ipo uchumi wa kati...Yaani hata hajui kipimo kinachotumika kupima nchi kuwa uchumi wa kati.

Analazimisha kupendwa kwa kuongea shit zisizo make sense kuhusu awamu iliyopita.
Leo kaongelea kuhusu mikopo, ilitakiwa aseme mradi fulani tumechukua mkopo kiasi fulani.
Asituone wajinga, mikopo ya miradi mikubwa haitolewi kienyeji.
Afanye mambo mazuri ya kuifunika awamu iliyopita sio kuongea ujinga ujinga.

Halafu anajifanisha na US, kabla ya kujifananisha na US kwanza angeanza kufananisha mishahara.

Hayo ndo madhara ya kupata kazi kwa kutumia connection huku ukifahamu hauna ujuzi wowote.
Mimi sitaacha kushangaa comment za kipumbavu kama hii...
1.Miradi mingi fedha ni za kukopa achambue kwani ilikua na ulazima gani?tanzanite Bridge hela 80%imetoka Korea,Sgr awamu ya pili na tatu wamekopa,Upanuzi wa bandari world bank, Kijazi interchange world bank,Brt phase ya pili mkopo,Kama ulitaka kujua umeshajua
2.Hajawahi kutakana apendwe na mtu mara zote amekua akisimamia haki na sheria basi
3.Kuhusu kuifafanisha US na Tanzania hapo emekurupuka kidogo.
Mlianza kumchukia huyu Mama bila sababu sasa mnaanza kuzitengneza sababu lakini bado hazina mashiko yoyote
 
Simchukii namuambia ukweli.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuchukiwa na kuambiwa ukweli.
Ni mara ngapi nimeandika humu watu wamkosoe kwa adabu wasitumie lugha za matusi?
Ni mara ngapi nimekosana na watu humu kwa kuwaambia tu wakosoe kwa adabu?
Mihemuko peleka huko unakochezaga.
 
Finally Tanzania has found a President who is ready to speak the truth without fear😂😂

Back
Top Bottom