Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ground hata space ya kuweka hizo tiles hakuna.

Aerial View Of Dar Es Salaam Stock Photo 53799445 - Megapixl
Kwahiyo hizo pictures sio za Tanzania? 😆
 
i knew somethng was amiss with yesterday's list.

now this is the true size of the kenyan economy, ≈$124 B.! since we grew at 5.7% last year. 😁😁😁😁😁 no miracles here, only facts and logics apply..

Tony254, whts your take please

see for yourself👇🏽

Screenshot_20220504-021817_Chrome.jpg
 
Uhakika wa kula hauzingatiwi directly na HDI. HDI inazingatia mambo matatu 1. Life expectancy. 2. Education. 3. Gni per capita. Kwa hivyo uhakika wa kula upo chini ya gni per capita. Nchi yenye gni per capita kubwa kwa kawaida huwa na uhakika wa kula. Ila nakuelewa kwa maana TZ mna uhakika wa kula kutushinda sisi japo bado tuna life expectancy ya juu kuwashinda, education index ya juu kuwashinda na gni per capita ya juu kuwashinda. Nyie mumetushinda kwenye uhakika wa kula pekee japo hilo halizingatiwi directly na hdi.
Sasa kwa nini uko bize kushangalia kumbe hata basic needs ni shida kwenu ku-afford?!! Uhakika tu wa kula hamna!. Stupid!!.
 
Terminal 2 iko na ndege moja😂😂😂

View attachment 2210174
Wakati wa covid JKIA ilikuwa na ndege ngapi kwa bridge?!JNIA TB3 imefunguliwa almost mwezi August mwishoni 2019, Covid imeanza sumbua dunia October kama si November 2019, Imekuwa kwny full swing 2020 mpk leo mambo hayajakaa sawa ulitegemea ndege za kujaza hizo bridge zinatoka kwa nyanya ako?!
 
ya bongo hiyo. mme jaribu. ss atleast mme rudi tena top10! mlipo kuwemo hapo awal..

hapo nyumae eastern africa ilikua sokwe la kicheko,
na sio tu barani afrika, bali duniani kote.. but roundi hii sio mchezo mzazi.. kilakitu mwake mwake babake.. atleast nchi tatu sasa kwenye kumi bora... afueni

Screenshot_20220504-032000_Chrome.jpg
 
Angalia number plate wewe. Hii picha sio ya Kenya. Hapa Kenya number plate ya nyuma huwa na rangi ya manjano. Kwa hii picha yako hayo magari yana number plate ya nyuma yenye rangi nyeupe na maandishi ya samawati.
View attachment 2210110
Tena hata mm wkt napost hiyo picha nilishangaa mbona hyo bus terminal ina mazingira ya kistaarabu kdg kuliko hizo zingine, kumbe co Kunyaland, haya nimekuwekea mzigo mwingine
Screenshot_20211213-100248.jpg
Screenshot_20220115-105238.jpg
Screenshot_2020-07-22-23-58-23.jpg
 
Back
Top Bottom