Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Ni kweli silaha zinapatikana virahisi sana. Kisha Somalia ni kubwa sana kulinda eneo lote la Somalia haiwezekani.Hvi huwa najiuliza hawa magaidi wanatoa wapi silaha ukichunguza vizuri kampuni zinazouza silaha nyingi zinatokea marekani na nchi za ulaya kama kwel wamarekani wanataka kupambana na magaidi waanze kwanza na hayo makampuni la sivyo wataendelea kurusha ngumi hewani

