Ni kwasababu airport yetu ni ya kisasa hairuhusu delay of the equipment, kila kitu kipo, ndege itakaa hapo according to its turn around na c vinginevyo, ile terminal two co modern ipo kama JKIA na ndiyo maana mandege yalikuwa yanajazana, hizi airport za nchi nyingi za ki Afrika hazitakiwi kuwa na mandege mengi on ground mana ndege zinazofika hapo c nyingi kiasi hicho, sema shida ni infrastructures ambazo ni outdated, kwa mfano JKIA ina bridges chache ambazo zinafanya kazi hivyo ndege inabd zisubiriane na ndiyo maana delay ni obvious ukufika JKIA something which is not obvious at JNIA because of its modernity.