Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's the other way round 😂
Nairobi is so attractive, the rich can't resist..East Africa's wealthy flock Nairobi to spend on luxury and live lavish...uliza mabalozi wa nchi nyingi ambao wana prefer kuishi Nairobi ilhali ni mabalozi wa nchi zingine outside Kenya... 90% of ambassadors to tanzania are based in Nairobi 😂
Akili yako ni ndogo kujua history ya taifa la Tanzania ni ya ki socialist ndio maana Western wapo mbali toka siku nyingi
 
Al Shabab imevamia kambi la jeshi la Burundi huko Somalia na car bomb. Mapigano makali yamezuka. Al Shabab ni hatari sana na huwa nashangaa malazy wanapolinganisha Al shabab na vijana wa mapanga huko DR Congo au vijana wa mapanga huko Kibiti. Makumi ya wanajeshi wanakisiwa kufariki. RIP our Burundian brothers.
 
Speaking of slum
Screenshot_20220503-205807.png
images (79).jpeg
 
Wewe unaongelea xpress way ya mchina, wkt xpress way ya mchina inafunguliwa hakutakuwa na mtu anaiongelea mana itamezwa na electrifitried SGR ya kwanza East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti electric what.. !!! another smartphone on the wrong hands
 
Hii lng wacha kuitaja. Dam ya Ethiopia ujenzi ulishaanza na turbine mbili tayari zinazalisha umeme. Huwezi kucompare dam ya Ethiopia ambayo ujenzi unaendelea na hata turbines mbili zimeanza kuzalisha umeme na lng project ambayo ipo kwenye makaratasi. Hio ni tabia mbaya sana.
Wakati nasema LNG, nilisema ikianza mwenzio akaichukulia poa kwa kuto kujua inacost kiasi gani , ikabidi nimjuze
 
Wasomali kumbe wanaogopwa kwa ujasiri wao hadi Waasi wa Donetsk wameunda Battalion kwa jina Somalia Battalion kwa sababu ya ujasiri wa Wasomali. Wanajeshi wao wanacheza traditional dance ya Wasomali.

Hvi huwa najiuliza hawa magaidi wanatoa wapi silaha ukichunguza vizuri kampuni zinazouza silaha nyingi zinatokea marekani na nchi za ulaya kama kwel wamarekani wanataka kupambana na magaidi waanze kwanza na hayo makampuni la sivyo wataendelea kurusha ngumi hewani
 
Back
Top Bottom