Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwa majina is so true. Tanzania utakuta msichana anaitwa majona zote za kizungu alafu utasikia mtu akisema tuko na kasumba ya wazungu. Tz utakuta mtu anaitwa Elizabeth Joseph something you'll never find here in Kenya and then they are the first ones to point figures
 
ah wapi wewe kutofautisha iwe shida kivipi? hapo si ungeweza kusema tuu Nunga wa blue, Nunga wa mlima Kenya, Nunga wa kawaida etc.
 
Tatizo linaanzia kwenye msingi, upimaji wa viwango siyo jambo kuu sana katika tasnia hiyo, sidhani hata kama wanajali utofauti wa quantitative na qualitative data. kwa mfano ukimuuliza Tony254 kama GDP ina unit au ni dimensionless, ataanza kubung'a.
 
Mimi sio mjuzi wa uchumi ila nataka unifahamishe kitu kimoja ivi uhakika wa kula upo kwenye HDI ama haupo?
Uhakika wa kula hauzingatiwi directly na HDI. HDI inazingatia mambo matatu 1. Life expectancy. 2. Education. 3. Gni per capita. Kwa hivyo uhakika wa kula upo chini ya gni per capita. Nchi yenye gni per capita kubwa kwa kawaida huwa na uhakika wa kula. Ila nakuelewa kwa maana TZ mna uhakika wa kula kutushinda sisi japo bado tuna life expectancy ya juu kuwashinda, education index ya juu kuwashinda na gni per capita ya juu kuwashinda. Nyie mumetushinda kwenye uhakika wa kula pekee japo hilo halizingatiwi directly na hdi.
 
Hako kaeneo kadogo kanagenerate annual revenue ya $50B ilhali Tz yote kwa jumla...$70B [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushaikubali $77b au sio, ss ngoja nikuambie kitu GDP halisi ya Tz ni $150b, SGR, EACOP na JNHPP zitakapoanza operation tutakuwa tunaitafuta $200b GDP in less than 5years to come.
 
[emoji38] India chenga chenga sana
 
Duh aisee, you guys need to be serious, this is not airport but a grazing yard.
Siku utafika JKIA ndio utajua TZ Hakuna airport. Kwanza sahii na hio express way link utathani uko New York.
Nairobi iko ligi ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…