Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We call this lack of skills, no wonder Tz leads EA in number of registered professional engineers, we cant tolerate this stupidity at all.View attachment 2209973
Mchina ana mdharau sana mkunga , kwenye fly over mpya ya Chang'ombe wameweka drainage system nzuri sana . Sikupiga picha tu. Well organized drainage system . Mtu akipita pale apige picha kuonyesha kuwa wachina wanawaona wakunya wajinga
 

Attachments

  • Screenshot_20220503-171429.jpg
    36.4 KB · Views: 28
Mbona uliyoweka hapa hukusema Nunga ila umeweka majina ya kuzungu ama ni kasumba ndio inakusumbua.
Ni makosa nikiweka jina la kizungu? Ukiongea hivi mtu hawezi jua una jina la kizungu. Kwanza Watanzania mna hii tabia ya kujiita majina mawili ya Kiingereza bila jina la kiafrika Sana.🤣🤣🤣

Anyway, kukueleza tu, Kiingereza ni lugha ambayo iko developed kuliko Kiswahili ndio maana Mambo yanapokuwa ya kina au deep Sana mengi inabidi mtu atumie Kiingereza. Kwa mfano, kuna aina nyingi za duiker zote ni 22 - kuna blue duiker, Mt. Kenya Duiker, common duiker etc. Lugha ya Kiswahili zote ni duiker. Ukitaka kutofautisha inabidi utumie Kiingereza.
 
Tanzania hawana pesa ya kununua plot Nairobi, usiwacheke. By the way Uganda wana embassy kwenye compound yake. Hata Somalia wana embassy ndani ya compound yake. Lakini lazy bones wanajaribu kujenga skyscraper Nairobi na hata kujenga embassy imewashinda wamebaki kurent 9th floor ya Reinsurance plaza.
 
Bado tumewaoa, na tutaendelea kuwapiga kama desturi hata mcheze na Germany au Italy. 🤣 🤣 🤣 🤣 Kichapo ni ile ile.
 
Huyu muhindi analalamika kwa uchungu kwamba Bangladesh ambayo ilikuwa nchi masikini sana miaka kumi iliyopita sasa imeipita India kwa per capita income.
Wahindi wanazaliana sana alafu wanabaguagana sana yani tajiri hachangamani na fukara...ni ajabu mtu kama Mukesh Ambani kua na utajiri wa zaidi ya $100B na yule Gautam Adan kua na utajiri wa $100B kwenye nchi ambayo per capita inacheza $2000 Ni upuuzi....wajifunze kwa wachina,wale jamaa wanachapa kazi sio mchezo
 
The one and only 3 tire interchange in EA, wengine wanaungaunga wanasema nao cku hz wana 3level interchange, yn road imepitishwa juu kilazima ili ku force 3tier[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wallahi mchina anajua kula pesa za nyani, hii ndio the real three level interchange, it was a three level since it was on paper up to it's completion.
 
Tony ukuje kwa ndugu zako
 
Ghana inaexport gold nyingi hata kushinda SA. Ghana is Africa's biggest exporter of gold. Halafu pia wanaexport crude oil 200,000 barrels per day.
Lakini tumewapiku kwa gdp kwa sasa na iyo ndio ilikua kiu yetu...inawezekana wakati wao wameegemea huko sisi na sector zingine tunapaa...kama bidhaa za viwanda,Mazao mifugo nk
 
Thika road on ground [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
JKIA[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…