Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hehehe mabati rolling Mill. Msiwe mnalinganisha this hoedown with the mighty JKIA.
JKIA
JNIA
Hehehe mabati rolling Mill. Msiwe mnalinganisha this hoedown with the mighty JKIA.
Tafuta ukipata utuonyeshe.Kwahyo baada ya kufunguliwa hilo eneo halijai maji tena.? 😅😅
😂😂 Your superstar confessing.. ukumbuke huyo yuko na exposure kukuzidi we nyang'au mlala hoi hapo kibera. Listen to him 👇.Hehehe mabati rolling Mill. Msiwe mnalinganisha this hoedown with the mighty JKIA.
JKIA
JNIA
View attachment 2206096
View attachment 2206097
Nilitegemea majibu ya ndio au hapanaTafuta ukipata utuonyeshe.
Mzee barabara kubwa za DSM hata kabla ya BRT hiyo kimara kibaha high way zilikua ni four lanes pamoja na hizo feeder roads ilpokuja BRT system zikatoka four lanes to six Lanes(the additional of two dedicated lanes for BRT), barabara ni six Lanes mzaee hii hapa morogoro roadsix lanesView attachment 2206050View attachment 2206051View attachment 2206062magomeni Morocco
six lanesView attachment 2206052View attachment 2206053samnujoma road
View attachment 2206054View attachment 2206057kilwa road six Lanes under construction
two dedicated lanes for BRT againView attachment 2206061mwenge Morocco six Lanes under construction
two dedicated lanes for BRTView attachment 2206064.. mind you barabara zote kubwa DSM ni six lanes mzee kwasababu barabara zote kubwa zipo under construction kuwekewa BRT lanes, hapa barabara mbili nimekosa picha zake (magomeni ilala boma na machinga complex keko to mbagala zote hiz zipo underway (additional of BRT lanes) .. nyie endeleeni kupiga kelele na thika high way na NAIROBI express way..sie tunachanja mbuga hatuwasubiri, Note, DAR is for BRT system
Waliofanikiwa kuvuka border watakucheka.
Kwahyo baada ya kufunguliwa hilo eneo halijai maji tena.?![]()

Opposition wakati kila kitu kinaonekana?
Hawa nao ilikuwa kipindi cha kampeni!
Unahamisha magoli sasa.? 😂😂😂
Highway iko na Zebra crossings, inasikitisha sanaBarabara ya upumbavu hata mataa hakuna
View attachment 2205862
Dimbwi lime-reclaim eneo lake la zamani.



Hebu lina ndege mbili. 🤣 🤣 🤣 🤣 Airport haina markings, kwani ni soko.
Wana exposure kuliko wewe!
😂😂 Your superstar confessing.. ukumbuke huyo yuko na exposure kukuzidi we nyang'au mlala hoi hapo kibera. Listen to him 👇.
Kula kitabu sio msemo wa kenya, acha kudakia misemo ya wenyeweNaona "umekula vitabu sana" kama tunavyosema huku Kenya.