Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Nimekuambia tafuta picha ya this year na ukipata panafana hivo utuonyeshe.Nilitegemea majibu ya ndio au hapana
Nimekuambia tafuta picha ya this year na ukipata panafana hivo utuonyeshe.Nilitegemea majibu ya ndio au hapana
Thanks to Japanese Tanzania have a second clearly marked road after a Ubungo interchange donation from China.
Who do you trust? Sauti Sol or a trusted organization?😂😂🤣Unahamisha magoli sasa.? 😂😂😂
Who is sauti sol? Ukitaka aseme JNIA inafanana na godown when he is Tanzania? Hiyo si mngemfukuza?
Ndege ni mbili tu in this airport 🤣🤣😂Hebu lina ndege mbili. 🤣 🤣 🤣 🤣 Airport haina markings, kwani ni soko.
Uzuri hajaulizwa kuhusu airport, ni yeye mwenyewe ameshindwa kujizuia akatoa ya moyoni.
Mwingine huyu hapa.
Cry more, heri sisi tuna mojaPoor country has only one notable highway, only one

LDC country has no notable highway This is a comedian. Do you know what comedians do?
Hamtakaa muwe na 14 flights per week, leta data kutoka KQBongolala, wacha kujilazimisha kwa mtu ambaye hakuthamini. Shirika la ndege la Congo has 14 flights per week between Kinsasha and Nairobi. Sasa wewe hapa unajigamba na safari tatu kwa wiki. Huoni wewe ni mjinga?
Dimbwi lime-reclaim eneo lake la zamani.
Ipo under construction? Red mud airport 😂😂Hehehe mabati rolling Mill. Msiwe mnalinganisha this hoedown with the mighty JKIA.
JKIA
JNIA
View attachment 2206096
View attachment 2206097
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa kufikiri kama hiyo infinix x657 yako.
Ona watu waliotembea.
Kama iko under construction hizi ndege mbili zinafanya nini huko?😂😂😂Ipo under construction? Red mud airport 😂😂
Dimbwi lime-reclaim eneo lake la zamani.



Wewe na Sauti Sol nani ako na exposure kumzid mwenzake.? Umewahi kusafir hata apo Uganda wewe.? 😂😂😂Who is sauti sol? Ulitaka aseme JNIA inafanana na godown when he is Tanzania? Hiyo si mngemfukuza?