Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperhill

tapatalk_1651140366056.jpeg
 
Life expectancy ya India ni 69yrs wakati ya Swis ni 84yrs, Child mortality rate ya India ni 30 per 1000 wakati Uswisi ni 3.6 per 1000.

Hii maana yake watoto wa India "chance ya kufa ni ×10 zaidi ya Uswisi, na wahindi wanakufa mapema kuliko waswis(84 - 69 = 15)
Hapa umefanya conclusion ku averaging out wahidi wote ni masikini, bila kuweka damping factor (ratio) ambapo kama ukifanya sahihisho hilo la kuongeza damping factor kwenye huo uwiano utaona hizo numbers zinabadilika.
Idadi kubwa ya wahindi ni kutokana na kwamba wanazaana wengi Sana, sio kwasababu wanaishi muda mrefu. Mfano mzuri ni idadi kubwa ya wadudu aina ya sisimizi, huwa muda wao wa kuishi hapa duniani ni mfupi Sana, lakini ndio wengi kushinda hata wanyama au binadamu wanaoishi miaka mingi.
Hiyo Dawning theory ya survival uliyoiweka hapo, sidhani kama inanafasi hapa kwasababu tunaongelea species moja (homo sapiens) ambao wote wanauwezo sawa wa kureproduce.

Kwenye chance ya watoto kufa, umeangalia expectancy kutokana na variable ya umasikini wa kukosa huduma bora ya afya. Hujaangalia variable nyingine kama maafa makubwa kutokea kama vita, ambapo idadi kubwa ya watu inaongeza nafasi yao kama species kuendelea kubaki.
 
What's the need of having one dollar billionaire with 2000 millionaires? Kenya has 0 billionaire but millionaires are 8500.
Mnatia aibu tupu, simnajifanya nyie mko aggressive? Yani mna run gdp ya 109 bill na akuna hat single person aliye weza kufikia 300 millions? Iyo ni nchi au sorce y income ya mzungu?
Yule tajiri wenu mlie sifia hakuwa hata n nusu ya pesa ya marehem MengiGDP ya mchongo
 
kuna kamba wakat nimekuwekea evidences za IMF wenyewe .. after corona nchi nying zilibounce back largely.. yetu sasa
Sasa unalia lia nini Simon? Sasa ulikuwa unataka uchumi wenu ubounce back vipi na yule Mungu wenu alikataa kufunga uchumi wenu wakati kila nchi ukanda huu ulifunga uchumi wao? Hivi unajua mwaka wa 2020 uchumi wa Kenya ulishrink by -0.3% wakati uchumi wenu ulikuwa by >4%? Hio 2020 hapa Kenya mashule yalikuwa yamefungwa, biashara nyingi na viwanda vingi vilifungwa na watu kupoteza kazi. Tourism sector ilikufa mwaka huo wote na 90% ya watu kwenye sector hio walipoteza kazi wakati tourism sector yenu ilikuwa inapokea watalii kutoka Russia na Ukraine. Au unadhani sikumbuki mkisherehekea hapa kupokea watalii wengi kutoka Russia na Ukraine? Uganda, Kenya na Rwanda zilifunga uchumi zao na mwaka wa 2021 na 2022 ndio nchi hizi zinafungua uchumi zao na ndio maana unaona zinabounce back, sector ya utalii imeanza kubounce back, viwanda vimeanza kubounce back, mashule yanafunguliwa. Sasa uchumi wenu ulikuwa unataka ubounce back vipi na hamkuwa mumeufunga? Akili kichwani rafiki yangu.
 
Mnatia aibu tupu, simnajifanya nyie mko aggressive? Yani mna run gdp ya 109 bill na akuna hat single person aliye weza kufikia 300 millions? Iyo ni nchi au sorce y income ya mzungu?
Yule tajiri wenu mlie sifia hakuwa hata n nusu ya pesa ya marehem MengiGDP ya mchongo
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataona kwamba Kenya ndio ina nafuu kidogo kwa sababu hatuna dollar billionaire ila tuna dollar millionaires wengi, zaidi ya mara tatu kuwashinda. Nyie mna dollar millionaires wachache sana ila mna dollar billionaires wawili. Uchumi wenu umeoza, watu wawili wanamiliki karibu kila kitu ndani ya private sector yenu. Hao Waarabu wawili ukichanganya na ile familia ya Bakhresa ndio familia tatu za kiarabu ambazo zinamiliki asilimia kubwa ya uchumi wenu. Watu wengine wote ni masikini wa kutupwa. Hao Waarabu wataendelea kuwa matajiri zaidi kwa maana naona mama anazunguka nao kila mahali akiwatafutia contracts za kujenga viwanda ili waendelee kupiga pesa ndefu ila weusi wa Watanzania kazi ni kukaa juu ya mawe na kupiga soga. Angalau weusi wa Kenya wako aggresive akina James Mwangi wanatafuta contracts DR Congo na kote kote ukanda huu.
 
Tafadhali tufafanulie hii report ya WB inayoiweka Tanzani namba 1 Africa katika nchi zenye uchumi shirikishi kwa wananchi wote

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mnatia aibu tupu, simnajifanya nyie mko aggressive? Yani mna run gdp ya 109 bill na akuna hat single person aliye weza kufikia 300 millions? Iyo ni nchi au sorce y income ya mzungu?
Yule tajiri wenu mlie sifia hakuwa hata n nusu ya pesa ya marehem MengiGDP ya mchongo
Hiyo ripoti imekuuma sana bongolala? 😂 😂
We have 3,600 more dollar millionaires than your shithole country and there's nothing you gon do about it
 
Back
Top Bottom