The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hata hiyo increase ya 0.8% ni kubwa kwa miezi aliyokaa na Mwaka huu tutafika 5%..Magu kafariki March, 2021
Mwaka 2020 mwaka wa corona Tanzania ambayo haikufanya lockdown ilikuwa moja ya baadh ya nchi zenye growth rate nzur ya 4 (angalia uone za Tanzania na nchi nyingine mwaka 2020)
Lkn angalien sasa GDP growth rate kuanzia 2021 zinavyoenda..same time angalia nchi nyingine zilivyobounce back from negative to big positive rate..yetu iko palepale below 5%..
what’s the reason or what’s the excuse? @Tanzanians
View attachment 2203783
Kwa kesi ya Uchumi wa Kenya wao wako very diversified Sana so Wana resilient kubwa ila kwa Rwanda sifahamu nature ya uchumi wao ila kwa Tanzania nategemea mwaka huu zaidi maana mwaka uliopita ulikuwa wa kufukia mashimo.

