To be honest am shocked, japo nimepita sana Tabora na kukaa kwenye lodges kwa siku chache lakini sikuwahi kuthani kama Tabora is this way developed
Nilishangaa Mwanri kipindi kile alipokua anasema anataka Tabora iwe kama Toronto 😂 surely it's somehow Toronto to be honest 😅
Kuna kipindi Wakunya walikua wananiambia niwaoneshe barabara ya lami Tabora 😆 then paaap video hii hapa
Hii video ni ya dakika nyingi sana kuzunguka Tabora lakini yote inaonesha lami tu, mwanzo wa video it's kind uswazi lakini kuwa mvumilivu
Ukiondoa Nairobi hakuna mji wenye mtandao mkubwa wa lami Kenya kuizidi Tabora
Tony254 utanisaidia
Hakuna mtu wa Tabora ataenda Karen au west kushangaa neighborhood zao sababu Tabora got them and decent streets beautifully modern and stylish than those of Nairobi posh areas
NairobiWalker na
Nicxie mna la kujifunza Tabora