Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Street view inaishia border ya namangaView attachment 2203676View attachment 2203678View attachment 2203679View attachment 2203680

Lakini naona progress, the last time I checked haikuwa hata street moja, naona wameanza na ka street kamoja...
Polepole ndio mwendo

View attachment 2203681View attachment 2203682View attachment 2203684View attachment 2203685
hii nayo ni kali sana mzee.. 🔥💥 hivi nimecheka yangu yote.... 😆😆😆😆

👇🏽👇🏽
Screenshot_20220428-135028_Chrome.jpg
 
Kenya still earns more on tourism revenue. 🤣 🤣 🤣 Activities za kutafuna viazi karai hazizowi pesa.
Hawajui tourists ambao wanaenda TZ ni vijana wa campus kenya wana hire gari waende after semester imeisha, alafu unacompare na europeans wako na budget ya 20 mil kufanya tour Kenya😅
I used to do that business in campus, taking my colleagues for tours 😅😅
 
Mpo zaidi ya 53M wataalam wa wb wameshasema,kwa mwaka wanazaliwa watoto million na zaidi uko kwenu
Kati ya WB na KNBS wanaofanya hesabu ya watu, nani wa kuaminika katika maswala ya idadi ya watu? Nyie pia mwaka huu mnahesabu idadi ya Watanzania mumezaliana kiasi gani. Sasa kati ya TBS na WB ni body gani ya kuaminika katika maswala ya kuhesabu watu?
 
Ni kweli ndugu. Education yetu ni shitty kiasi kwamba ndani ya mwezi moja Google, Visa, Microsoft, Amazon, Renault na Hyundai zimewekeza Kenya. Nakubaliana na wewe kabisaaa 100%.
Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
 
Back
Top Bottom