Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema Ethiopia rate zao
nin kinawanafanya wawe na growth rate kubwa hivyo
IMG_5411.jpg
 
😅😅😅 Alafu tukiongelea Street view, Mwingine hapa anakuja na zile za "mombasa hakuna streets" 😅😅
mombasa kuna streets au kuna uchafu?? au unataka kuaibika sasa hvi??🤣🤣🤣
 
Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
chongchung ni kweli Wakenya hawataajiriwa na makampuni yanayokuja Kenya. Huyu jamaa Jack Ngare ni Mkenya.

Google taps Microsoft Nairobi hub boss Jack Ngare as technical director​




American tech giant Google has tapped Microsoft Africa Development Centre (ADC) managing director Jack Ngare to join its cloud business as a technical director in the Office of the Chief Technology Officer (CTO).

Until his appointment, Mr Ngare was the head of Microsoft’s tech innovation and development center, which was established three years ago, but last month opened a new centre of operation in Nairobi’s Westlands.

“Google Cloud’s Office of the CTO not only helps our customers create their future with technology but also guides Google on what challenges the world’s enterprises are trying to solve,” said Will Grannis, Google Cloud’s chief technology officer.

“We are thrilled to have Jack join our growing team and bring his expertise to companies based in Kenya and around the world.”

Google Cloud’s Office of the CTO (OCTO) is a global team of senior technology experts and former enterprise CTOs whose mission is to foster collaborative innovation between Google Cloud and its largest, strategic customers.

The team works hand-in-hand with customers to address complex business challenges and advise companies as they transform their business with technology.

ALSO READ​

 
muna earn nn nyinyi zaidi ya tanzania ??😂😂 tanzania ilikusanyq 2.3b usd 2019 hebu nioneshe hio figure nifunge acc
Bado unaishi 2019 na tuko 2022. 🤣 🤣 🤣 2021mulikusanya 1.2b zoea your new numbers, stop living in denial.
 
Magu kafariki March, 2021
Mwaka 2020 mwaka wa corona Tanzania ambayo haikufanya lockdown ilikuwa moja ya baadh ya nchi zenye growth rate nzur ya 4 (angalia uone za Tanzania na nchi nyingine mwaka 2020)

Lkn angalien sasa GDP growth rate kuanzia 2021 zinavyoenda..same time angalia nchi nyingine zilivyobounce back from negative to big positive rate..yetu iko palepale below 5%..

what’s the reason or what’s the excuse? @Tanzanians
View attachment 2203783
Unajua WB na IMF pia wanachukua Data za Tz..angalia Growth ya NBS alfu ndo utaona
 
Kwanza kuna Watz wengi hawamjui Kibaki kabisa kabisa. Tukiwaambia hatuna habari ila wao ndio wanajisumbua na sisi wanabisha, lkn twitter kule wanakubali.
unaongea as if wakenya wengi wanamjua samia suluhu hassan vizuri.... ata hino jina tu jameni.. balaa.!
 
Back
Top Bottom