Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kenya is Africa's Tech Hub.
Halafu wajinga bado wanataka kukimbizana na Kenya kwenye ICT.
Kenya is Africa's Tech Hub.
A classy example of a Tanzanian holding on to his truth while kwa ground vitu ni different. Why are you so delusional..Hata akilipwa hivyo bado atanunua 1lt ya maji kwa 4000 huku mtanzania ananunua kwa 300 tumia akili huu ni mfano mdogo tu
View attachment 2203434
View attachment 2203436
Wewe unajua hata venue hii discussion ilianza? Mbona mnakuanga wajinga hivi? Instead of going through the discussion and see its origin wewe unakimbilia tu kujibu just for the sake of answering. You are a fool.
kwamba matajir wanapatikana kwa hesabu za cross multiplicationoneni chokoraa
![]()
Wewe sandton sio rika yako, iko level yake na unalijua hilo ,skyline zipo hata nakuru
Wakenya mko 55m mnapunguza hadi watu?Sometimes simple maths can help in solving some of these stupid argument.
30M of Morroco = 5,000
What if they were to be 47M which is the population of Kenya?
The answer will be
(47×5,000)÷30
= 7,800 millionaires.
Remember Kenya at 47M has 8,500 millionaires.
When did Worldmeter count people in Kenya? It was which year? Which month? And which day of the month? When did they release the results of their findings?Wakenya mko 55m mnapunguza hadi watu?
Unakokotoa nonsense View attachment 2203632
i truely concur IamLee, imagine getting such kind of Street Views directly from google, and anywhere in kenya, is a great feat, nb: such kind of views are spreadout in all cities and towns and all highways throughout kenya. such things can only be traced in SA, Kenya and UAE, but never in tanzania or even nigeriaKenya as a whole is always ahead in terms of embracing tech and that's why you see big companies setting up shop here.. let's take a moment to remember and acknowledge the CCTV surveillance installed all over Nairobi and mombasa which was completed in 2016View attachment 2203077View attachment 2203078View attachment 2203079
more painView attachment 2203080View attachment 2203081View attachment 2203082
View attachment 2203083Meanwhile, some cities in don't Even have street view yet in 2022..and they claim to be way ahead of Nairobi
Hayo sio maswali,haya leta swali sasaWhen did Worldmeter count people in Kenya? It was which year? Which month? And which day of the month? When did they release the results of their findings?
Tanzania hakuna street view, pale Dar itabidii Google wanunue pikipiki ndio wa access hizo vichochoro. 🤣 🤣 🤣i truely concur @ianlee, imagine getting such kind of Street Views directly from google is great feat, nb: such kind of views are spread in all cities and towns and all highways throughout kenya. such things can only be traced in SA, Kenya and UAE, but never in tanzania or even nigeria
View attachment 2203642View attachment 2203643View attachment 2203644View attachment 2203645View attachment 2203646
Ambatanisha na hayo maneno when did WB count people inWhen did Worldmeter count people in Kenya? It was which year? Which month? And which day of the month? When did they release the results of their findings?
? You are now staggering. Nimekuambia utuonyeshe skyline like this from Sandton.Wewe sandton sio rika yako, iko level yake na unalijua hilo ,skyline zipo hata nakuru
Leta prove hii gari havurutwi. Tuonyeshe driver akiendesha. 😀![]()
When did world bank count people in Kenya?Ambatanisha na hayo maneno when did WB count people in?
So far mko zaidi ya 53M,unapenda sana kufichaficha takwimu sahihi bila sababu za msingiView attachment 2203649View attachment 2203650
sasa hasira ya nn ?? 🤣🤣🤣 kwan bado muna hasira na magufuliMagufuli
Morocco's population was 37m in 2020 so make it 40m, therefore 5000 people translates to .0125% while even if you place Kenya's pop to 50m, 8500 individuals make up 0.017% so do the mathMorocco wako 30M wanaomatajiri 5000 hamuwezi kua wapili kwa namna yoyote ile
Wewe Google data za Kenya National Bureau of Statistics ambayo ilifanya census in 2019Wakenya mko 55m mnapunguza hadi watu?
Unakokotoa nonsense View attachment 2203632
Mwenzako tuusan ndiye ame imply a kuanzisha hio idea... na kama haukuwa unafuata thread ni heri ukimye ama uanze mwanzo acha kuropokwa tu mambo huyaelewi.![]()
![]()
![]()
kwamba idadi ya matajir inapatikana kwa hesabu za cross multiplication![]()
oneni chokoraa huyu![]()
![]()
Wahabeshi wako zaidi ya 100M Watz 60M apo kwa akili yako nani anahela?
Yote tisa,kumi tupo kwenye list.
Wakunya wako over 56 mln!Ambatanisha na hayo maneno when did WB count people in?
So far mko zaidi ya 53M,unapenda sana kufichaficha takwimu sahihi bila sababu za msingiView attachment 2203649View attachment 2203650