Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila
Tigo wamehamia kwenye hili jengo.. hilo eneo linaenda kuchangamka sasa.. tutarajie maghorofa mengine kuja kuanzia hapa kwenda mliman city.. afu huyo mwenye petrol station saiz anacheka tu..meno yote nje
View attachment 2202713

pale pa awali watamnyima jamaa yangu pesa (tigo house)
 
Beatings will continue to occur around the clock. Election year lakini tunawapea kichapo cha punda.

My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
 
Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
Ni kweli kabisa kampuni hizi hazitaemploy Wakenya kwa sababu education yetu ni shitty. Wataajiri Watanzania kwa sababu education system yenu ni superior kushinda ya Kenya. Natumai tumekubaliana hapo ndugu. Hata rent watalipa Watanzania na kodi pia watalipa serikali ya Tanzania.
 
My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
Because you are not doing anything meaningful. Kenya has now banned importation of minibuses, buses and Vans. This will force who like to import such vehicles to dwell on the local market hence increase in employment and production.

1651146286788.jpg
 
Kati ya WB na KNBS wanaofanya hesabu ya watu, nani wa kuaminika katika maswala ya idadi ya watu? Nyie pia mwaka huu mnahesabu idadi ya Watanzania mumezaliana kiasi gani. Sasa kati ya TBS na WB ni body gani ya kuaminika katika maswala ya kuhesabu watu?
Haya sio maswali yakuniuliza mm, hao WB hutoa wap takwimu zinapikwa au?
 
My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%

ushahid huu hapa
IMG_5409.jpg

IMG_5410.jpg
 
Magu kafariki March, 2021
Mwaka 2020 mwaka wa corona Tanzania ambayo haikufanya lockdown ilikuwa moja ya baadh ya nchi zenye growth rate nzur ya 4 (angalia uone za Tanzania na nchi nyingine mwaka 2020)

Lkn angalien sasa GDP growth rate kuanzia 2021 zinavyoenda..same time angalia nchi nyingine zilivyobounce back from negative to big positive rate..yetu iko palepale below 5%..

what’s the reason or what’s the excuse? @Tanzanians
IMG_5411.jpg
 
My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
South Africa wanaoongoza kwa uzalishaji wa viwanda, utalii,madini wanakua kwa 1.9% hii pia imekaaje
 
South Africa wanaoongoza kwa uzalishaji wa viwanda, utalii,madini wanakua kwa 1.9% hii pia imekaaje

angalia rate yao.. haieleweke and it’s not about the size.. it’s about consistency ya ukuaji wa uchumi! afu ya SA hayanihusu.. ya Tanzania ndo yananihusu
 
Back
Top Bottom