Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza unatakiwa kufuta kenya kwa ubongo wako wakati unajadili Tz, unapaswa kujua ni Tz pekee mtu anaweza lala fukara akamka millionare, iyo GDP sijui 70s bado haina uhalisia kwa uchumi wa Tz, jiulize wakti mnataka kujenga esssigiiiaraa ( mtungi wa chang'a) iliwa lazim mkope na hata mkopo ulipo sitishwa rail ikaishianmachakani.
Unazungu mzia kenya yenye wafaa njaa against Tz nchi yenye inclusive economy kubwa ukanda huu...hata ikitoke tuchore hapa lorenz curve hapa kwenu ni aibuuu
Fikra za kiboya.., mwenzenu huyu hapa The best 007 joto la jiwe , mko wengi kumbe, nashuku wengine ni viongozi wa Tanzania wamebana identity, fikra zao ni hizi hizi 🤣 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ethiopia just opened for business the other day na washapita the loud mouth minions.

Image
Siku hizi walichoka hata na mambo ya millionaires 😂😂. There was a time here that hata hatukuwa tunapumzika.
 
Wahabeshi wako zaidi ya 100M Watz 60M apo kwa akili yako nani anahela?
Yote tisa,kumi tupo kwenye list.
If you are talking about population then what about Kenya which has 8,500 dollar millionaires Vs Tanzania which only have 2,600 dollar millionaires. Remember Tanzania is 60 million plus and Kenya is roughly 50M.

FRWamHlVsAAV1Nf.jpg
 
Kienyeji sana.., hii ndio super highway ya Tz.., yaani Uganda wako juu yenu by far 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣
Barabara haina hata mataa, alafu imejaa zebra crossing utadhani ni city street. Gradient technique ni ya 1900's, inafwata ground kama nyoka.🤣 🤣 🤣
 
hili ghorofa limekua lonely sana, hope mengine yatajengwa sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., now wale popo waliokua wamefanya makao yao humo ndani wahame[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..,
View attachment 2203368

Popo wa humu ndani kwenye hili jengo mnawahamisha lini?
Four years now.

 
Magufuli was a sitting president who died at Nairobi Hospital (despite your denials). Kibaki was a retired, non-controversial figure.

When Mkapa died, I don't remember it even making lunch time news over here.

This comparison is nonsense.

''Visingizio''
 
Hii ilikua headline ya kujiliwaza, nimesoma hii news yote, baada ya Knight Frank kudhihirisha mko na dollar millionaire wachache kuliko Kenya, sasa hii utafiti pia is like confirming Knight Frank's report, so mwandishi wa habari ametumia hiyo report but headline ameweka ya kujiliwaza tu, ukweli unauma😂😂., nashuku yuko humu na pseudo name, watanzania hampendi ukweli unao weka Kenya juu yenu, ila ziko mingi tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kenya 8, 500 vs Tanzania's 2,400.,, (Banking income na revenue inaonyesha how true this is)

How Tanzanian journalist covered the wealth report.., kataja East Africa pekee, in Africa kwa dollar millionaires top 10 Tz ndio wanafunga, mnajiliwaza na ka dollar billionaire kamoja tu😂😂😂
View attachment 2203352
View attachment 2203353


Kenya, East Africa's giant in many fronts..,
View attachment 2203355
View attachment 2203356
View attachment 2203357
Tanzania ni level ya dola billionaires,huko chini pambaneni na WA level zenu akina Uganda n the likes.

😆😆 Kunyaland bwana kila kitu majanga kila kitu bei juu👇

Screenshot_20220428-090001.png
 
Kuna yule mnywa changaa wa tarmacked road. [emoji23][emoji23][emoji23]



Didn't Magufuli build a useless airport to his rural home?

Kibaki was a sane economist. Priority was given to where infrastructure would have maximum economic impact. No preference to his homes.

You should pray everyday you get a president like Kibaki at least once in your lifetime, not populist dictators.
 
Didn't Magufuli build a useless airport to his rural home?

Kibaki was a sane economist. Priority was given to where infrastructure would have maximum economic impact. No preference to his homes.

You should pray everyday you get a president like Kibaki at least once in your lifetime, not populist dictators.
who told u chato airport ni useless tatizo lenu muna ufinyo wa mawazo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom