Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha 👇Iko wapi Mombasa.?

self_said_1651087470996613.jpg
 
Maana yake nini kwamba mna watu wawili ambao mmoja tayari ni dollar billionaire na mwingine amekaribia kuwa dollar billionaire ndani ya uchumi wa $71 billion ilhali Ivory coast ambayo ina uchumi almost sawia na yenu haina dollar billionaire. Ethiopia ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Kenya ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Iweje nyie na uchumi wenu mdogo muwe na dollar billionaire wawili? Hio inaonyesha wealth disparity kubwa ndani uchumi wenu. Mna uchumi mdogo lakini watu wawili tayari ni dollar billionaire hio ni ishara mbaya sana. Kwanza ukizingatia kwamba mna dollar millionaires wachache kushinda Kenya. Hao watu wawili ndio wanaomiliki property nyingi Tanzania. Halafu huwa mnasema Kenya inamilikiwa na watu wachache. Na nyie je mbona hamjiangalii?
Ofcz una point but haitusumbui,middle class inaongezeka kwa kasi
 
Back
Top Bottom