Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkosa akili bila aibu yupo bize kujadili FDI ya Tanzania wakati ya nchi yake inapungua kwa speed kali, ifike mahala yule mzungu aliyeondoka na akili za wakunya awarudishie.

In 2020, FDI to East Africa dropped to USD 6.5 billion, a -16% decline from 2019. FDI to Kenya decreased by -34% to USD 717 million, compared with USD 1.098 billion in 2019 FDI to Uganda decreased by -35% to USD 823 million, compared with USD 1.3 billion in 2019. However, FDI to Tanzania sightly increased to USD 1.0 billion in 2021 from USD 991 million in 2019.

 
FDI from Kenya.
 
SSH mawazo yake makubwa sana kwahyo wanaohojihoji fuatilia na uwezo wao utagundua kitu...kuvuta wawekezaji ndio jambo la msingi na kufungua fursa zingine...Wanadhani ni sahihi sana Raisi kujificha Ikulu akikwepa gharama za kusafiri
 
Teargas alinibishia bila data nikaona ninyamaze since ukweli haujifichi. Na hii ndio ishara tosha BOT ikiamua kusimamia vyema financial business utagundua TZ iko mbali sana kuliko yeyote hapa EAC
Usipindishe ukweli mambo ya benki kenya wanatuzidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…