Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umempiga na kitu kizito sana

View attachment 2197907
Wabongo wanapenda propaganda sana, niliwaambia Nairobi ya kitambo sio sahii, kimathi street was re-carpeted and marked by NMS.

No photo description available.

During refurbishment.
Badi-led team embarks on road works in Nairobi
 
Duu hawa jamaa mbona wanachafua mabasi yao hivi na marangi rangi! Yaan kulitazama hilo gari tuu kichwa kinauma, ukilipanda sasa na miziki ile ukishuka si unakua mahututi kabisa
Na si mko washamba msee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wabongo wanapenda propaganda sana, niliwaambia Nairobi ya kitambo sio sahii, kimathi street was re-carpeted and marked by NMS.

No photo description available.

During refurbishment.
Badi-led team embarks on road works in Nairobi
Ulichokifanya hapo ni ku edit hiyo picha ya au kuipaka makeup, Dar ni Safi kinoma, hata ndugu zako waliowahi kufika wanalijua hilo mzee, posta haijawahi rekebishwa hata siku moja na ni moja ya maaneo yaliyosahaulika katika kufanyiwa marekebisho but it's still clearner than NAIROBI ambayo imefanyiwa marekebisho juzi tu yani mwaka jana
 
Kawe-Beach ndio neighborhood, Kawe ni kubwa kuliko Nairobi
Kubwa with nothing to show. 🤣 🤣 Kazi yenu nikupost picha za CBD and surrounding areas pekee kila siku. Hata Industrial Area na airport munaogopa kupost ju imebanwa na uswazi. Ile siku mutaanza kupost mbagala au temeke nitafunga account.
 
Ulichokifanya hapo ni ku edit hiyo picha ya au kuipaka makeup, Dar ni Safi kinoma, hata ndugu zako waliowahi kufika wanalijua hilo mzee, posta haijawahi rekebishwa hata siku moja na ni moja ya maaneo yaliyosahaulika katika kufanyiwa marekebisho but it's still clearner than NAIROBI ambayo imefanyiwa marekebisho juzi tu yani mwaka jana
Nime edit hadi nikaongeza hio street light. 🤣 🤣 🤣 Inawauma mkipewa majibu vile inafaa. Kama Dar haifanyiwi rennovation hio ni shauri yenu.
 
That's our Urban Culture, yenye watu wa Arusha hutamani sana kucopy.
Eti watu wa Arusha! Jiji la Arusha halina upuuzi huo! As a matter of fact the opposite is true refer warbus tourvans by RFA Group, Hanspaul Group n e-motion and the land rovers fabrication by capitalzone_4x4

Eti watu wa Arusha! Jiji la Arusha halina upuuzi huo! As a matter of fact the opposite is true refer warbus tourvans by RFA, Hanspaul n e-motion and the land rovers fabrication by capitalzone_4x4
We mzee enda ukunywe maziwa kama huelewi kinachozungumziwa hapa.
What To Do In Arusha In 48 Hours | Viva Africa Tours

LATRA YAENDESHA ZOEZI LA KUKAMATA MAGARI YASIYOKUWA NA LESENI PAMOJA NA  YALE YANAYOPITA BARABARA ZILIZOKATAZWA. - ARUSHA PRESS CLUB BLOG
 
Eti watu wa Arusha! Jiji la Arusha halina upuuzi huo! As a matter of fact the opposite is true refer warbus tourvans by RFA, Hanspaul n e-motion and the land rovers fabrication by capitalzone_4x4

Tunaogelea matatu wewe unakuja hapa na Land Rover kuforce issues. Akili yako iko sawa kweli.
 
Back
Top Bottom