Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Drc guys have started to increase in Nairobi, sijui it's due to them joining eac or what they very many in Thika road selling stuff, think the government should make encourage us to go there and make use of the huge market base they have. From documentaries I have seen their juakali sector is not vibrant
am telling u kenya is another smaller 'SA'.. ata kando na wacongolee, je wagandarée na warwandii nayo.! uzuri tu we are not xenophobic like wtziis, else...... 💣💣.... 💥💥🔥
 
Umenikumbusha ''siguzi''
yani namaanisha, mshahara bado iko intact kwenye benki.! a sidehustle of upto Tsh2.4M within 4weeks is sufficient enough atleast for now. hate me love me but sio majivuno, ni venye pia nyie wtz hujibeba huku, ndo nikaamua acha pia na mm ni waproove othws, venye pia sisi ufanyanga..

kwani huyu sio ww👇🏽
Screenshot_20220423-010256_Chrome.jpg
 
Sasa unaforce na sisi tunaishi huku 😅😅 sasa utasaidika aje? In fact huku Msa, wale watu wa water purifying pale kwa water dispenser hufanya refill ya 10L na 50 bob 😅 hebu nikipata time na nikikumbuka kesho nitapiga picha
Hakuna maji ya bei hiyo hata ulie

Bei ya maji ni hii and soon yanadouble

Screenshot_20220422-134509.png


Screenshot_20220422-135601.png
 
yaani kuna mahali pakubwa sana anakwama ,hayo mambo ni ya mawaziri wa sanaa,
Raisi amekuwa cheap president kuonekana onekana hovyo kwenye nchi za watu kiasi cha kwamba anaonekana mzururaji tu anahaibisha sana wadhifa wa uraisi,tokea aende huko kashindwa hata kuonana na president mwenzake biden hii inaonyesha how is fool ,

SSH amekuwa kama Raia wakawaida kwa huko USA,hii imekaa vibaya sana wanaomshauri wanamchoresha tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Eti kaonana na bbake Rihanna sasa babake Rihanna ndo nani si bora angeonana na Rihanna mwenyewe, ila acha tungoje matokeo ya hii ziara yake tunatumai yatakua immediate
 
Back
Top Bottom