IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Commendable work she's doing promoting Tz to the world, hopefully she attracts not only tourists but investors like the google hub...pun intended
Google earth unaipenda lakini inakuumbua, 75% sijui 80% ya watu wa Nairobi hawawezi kutosha kwenye haka kaeneo kama mnavyodai..Inauma lakini vumilia, Dar tunaijua 90% ilivyo.., yaani tufunzeni Kiswahili tu, otherwise u have nothing to tell us, #Google_earth![]()
Tofautisha Kati yà mahitaji ya msingi(basic needs), na mahitaji ya ziada. Hilo ndio tatizo lenu kutojua Mambo ya msingi badala yake yote mnayaweka na kuyapa umuhimu sawasawaPia utatuambia Luxury cars na zile tuktuk na probox ni za bei moja Tanzania kwa sababu "we donti havu and neva embresi social classes"![]()
He is right. Pia Kenya hamna gari la KES 1,000,000 ($11,000). Bei ya gari Kenya ni hii. 🤣 🤣 🤣 🤣The secodn part perfectly describes many of you here..., slogan ya NairobiWalker kwa watu kama wewe.., 😂 😂 😂
View attachment 2197294
Hii umemark ndio eneo gani?Google earth unaipenda lakini inakuumbua, 75% sijui 80% ya watu wa Nairobi hawawezi kutosha kwenye haka kaeneo kama mnavyodai..View attachment 2197414
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
We don't know the problems facing Kenya through Kenyans, we know most of you have low IQ therefore not trusted, when know those problems through international credible sources like WB, IMF, CNN, Aljazeera and Transparence InternationalYou see, the biggest difference between Kenyans and Tanzanians is that, Kenyans are more free to exercise their freedom of speech from their own experiences, now they highlight issues they feel should be addressed including ukabila, corruption, poverty, cost of living, insecurity and other social and economical vices... Now the problem is, when they do, our neighbors at the South think Kenya is full of problems by virtue of those highlights...is it that Tanzania is so perfect that there isn't any major socio-economic issues? Or they just haven't been told... We all know the answer to this.
So yea, there are problems in Kenya and we own them, and there's a difference between ones who airs the issues so that they are addressed and the ones that haven't even acknowledged the existence of the issues.



Eastland.. kama kuna kitu nmekiacha nikumbusheHii umemark ndio eneo gani?
Tupate mapumziko kidogoAkili ya hizi mbuzi za south jameni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()






Sometimes it's nice to keep quiet and be thought a fool than speak up and confirm it.
You see, the biggest difference between Kenyans and Tanzanians is that, Kenyans are more free to exercise their freedom of speech from their own experiences, now they highlight issues they feel should be addressed including ukabila, corruption, poverty, cost of living, insecurity and other social and economical vices... Now the problem is, when they do, our neighbors at the South think Kenya is full of problems by virtue of those highlights...is it that Tanzania is so perfect that there isn't any major socio-economic issues? Or they just haven't been told... We all know the answer to this.
So yea, there are problems in Kenya and we own them, and there's a difference between ones who airs the issues so that they are addressed and the ones that haven't even acknowledged the existence of the issues.
Hizo ghorofa ziko places mingi Nairobi, sio hio area umemark pekee.
Bana, huyu hakuna Nairobi anajua. Anadhani Embakassi pekee ndio kuna ghorofa za residential Nairobi. 🤣 🤣Sometimes it's nice to keep quiet and be thought a fool than speak up and confirm it.
Unajua hapa hata sio Eastlands. Hapa ni Luckysummer in Ruaraka Constituency. Nairobi nikama huijui wewe.
Me nmeweka kitu mnachopost kila siku hpa mkisema majority mnaishi.. sasa wew lete Raman inayoonyesha Eastland na sio kubishana tu kama kijiweniBana, huyu hakuna Nairobi anajua. Anadhani Embakassi pekee ndio kuna ghorofa za residential Nairobi.![]()
![]()
Tutainganisha usijali..Hizo ghorofa ziko places mingi Nairobi, sio hio area umemark pekee.
Hii hapa ni just a small area of Kasarani amabayo hata haiko kwa hio map yako.
![]()
Sasa wewe ndio unataka kunifunza Nairobi. 🤣 🤣 🤣 Sawa basi endelea.Me nmeweka kitu mnachopost kila siku hpa mkisema majority mnaishi.. sasa wew lete Raman inayoonyesha Eastland na sio kubishana tu kama kijiweni
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Uko hpa kwasababu gan?Sasa wewe ndio unataka kunifunza Nairobi.![]()
![]()
Sawa basi endelea.
![]()

Eastland inaukubwa gan? ndo swali languUnajua hapa hata sio Eastlands. Hapa ni Luckysummer in Ruaraka Constituency. Nairobi nikama huijui wewe.
![]()