Keringet ni maji ya mabazu hapa Kenya, hawa ndio type of customers wake. Naona bei imekushtua lakini usijali siku moja utaomoka. 🤣 🤣 🤣 🤣
Keringet ni maji ya mabazu hapa Kenya, hawa ndio type of customers wake. Naona bei imekushtua lakini usijali siku moja utaomoka. 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa kweli ni neema kubwa kuzaliwa Tanzania sometimes huwa nashangaa eti baazi yetu humu ndani wanaioponda nchi Yao huwez sikia hata siku moja mkunya akifanya hivo wanakufa na nchi Yao japo wanaumia🙄🙄🙄🙄Mikunya inatamani iwe Tanzania 😀
Tatizo mna tambia mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣am telling u kenya is another small 'SA'.. ata kando na wacongolee, je wagandarée na warwandii nayo.! uzuri tu we are not xenophobic like wtziis, else...... 💣💣.... 💥💥🔥
Tanzania we don't have and never embrace social classes, kuanzia Mo, Bakhresa hadi bibi mvuta tumbaku kule kijijini, wote Hutumia maji ya Bei Moja.Keringet ni maji ya mabazu hapa Kenya, hawa ndio type of customers wake. Naona bei imekushtua lakini usijali siku moja utaomoka.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





Tanzania we don't have and never embrace social classes, kuanzia Mo, Bakhresa hadi bibi mvuta tumbaku kule kijijini, wote Hutumia maji ya Bei Moja.
Kumbe ndio sababu vijana wengi Kenya hupenda kuzaliwa Tanzania,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watz wengi bado wana ile tabia ya shobo, wengi wao bado wana ulimbukeni wa kutothamini vya kwao na kutojiamini.Kwa kweli ni neema kubwa kuzaliwa Tanzania sometimes huwa nashangaa eti baazi yetu humu ndani wanaioponda nchi Yao huwez sikia hata siku moja mkunya akifanya hivo wanakufa na nchi Yao japo wanaumia![]()
Mkuu wakenya ni zaidi, hawaitamani kabisa nchi Yao, msikilize huyuWatz wengi bado wana ile tabia ya shobo, wengi wao bado wana ulimbukeni wa kutothamini vya kwao na kutojiamini.
Hiyo ndiyo sababu Tanzania inaongoza Africa katika "Economic inclusivess index" na Kenya inashika mkiaNdoto za mchana hizi.![]()
![]()
![]()



Haya niliyasema, mwaka huu tutaona figure zikiongezekaHaya GDP kutoka.kwa wapendwa wenu IMF
Naona Angola Imerudi kuwapiku..baada ya hela yao kupanda Thamani Tony254
Simon je Magu alikuwa anaonewa do we finally see the real figuers of Tz View attachment 2195153View attachment 2195154

wahuni tu hawa jamaaTanzania we don't have and never embrace social classes, kuanzia Mo, Bakhresa hadi bibi mvuta tumbaku kule kijijini, wote Hutumia maji ya Bei Moja.
Kumbe ndio sababu vijana wengi Kenya hupenda kuzaliwa Tanzania,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akili ya hizi mbuzi za south jameni 🤣 🤣 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂Pia utatuambia Luxury cars na zile tuktuk na probox ni za bei moja Tanzania kwa sababu "we donti havu and neva embresi social classes" 😅
Nafahamu Wakenya tatizo lao ni ugumu wa maisha kule kwao, nchi yao haina fursa nyingi kama kwetu na ndiyo maana Wakenya hawapendi nchi yao lkn kwa Tz kesi ni tofauti, nadhani ni kwasababu nchi haina shida ndio maana wananchi wamelewa raha mpk wanatamani dhiki.Mkuu wakenya ni zaidi, hawaitamani kabisa nchi Yao, msikilize huyu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You see, the biggest difference between Kenyans and Tanzanians is that, Kenyans are more free to exercise their freedom of speech from their own experiences, now they highlight issues they feel should be addressed including ukabila, corruption, poverty, cost of living, insecurity and other social and economical vices... Now the problem is, when they do, our neighbors at the South think Kenya is full of problems by virtue of those highlights...is it that Tanzania is so perfect that there isn't any major socio-economic issues? Or they just haven't been told... We all know the answer to this.Ndoto za mchana hizi. 🤣 🤣 🤣
Mkuu wakenya ni zaidi, hawaitamani kabisa nchi Yao, msikilize huyu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bado hamjawacha hii tabia ku ua albino.🙆♂️ Waaaaaaaa.Nafahamu Wakenya tatizo lao ni ugumu wa maisha kule kwao, nchi yao haina fursa nyingi kama kwetu na ndiyo maana Wakenya hawapendi nchi yao lkn kwa Tz kesi ni tofauti, nadhani ni kwasababu nchi haina shida ndio maana wananchi wamelewa raha mpk wanatamani dhiki.
Facts, you have said it so well. It clearly explains how they react to issues on this forum.You see, the biggest difference between Kenyans and Tanzanians is that, Kenyans are more free to exercise their freedom of speech from their own experiences, now they highlight issues they feel should be addressed including ukabila, corruption, poverty, cost of living, insecurity and other societal vices... Now the problem is, when they do, our neighbors at the South think Kenya is full of problems by virtue of those highlights...is it that Tanzania is so perfect that there isn't any major socio-economic issues? Or they just haven't been told... We all know the answer to this.
So yea, there are problems in Kenya and we own them, and there's a difference between ones who airs the issues so that they are addressed and the ones that haven't even acknowledged the existence of the issues.
Wakenya hawapendi shida zilizoko nchini, na ndivo maana unaona wakijaribu kufanya jambo kuyahusu...ila hakuna mwafrika wa nchi ya tatu ambaye anasema kwa uhakika na furaha kuwa hawana shida nchini, labda awe amekuwa brainwashed.Nafahamu Wakenya tatizo lao ni ugumu wa maisha kule kwao, nchi yao haina fursa nyingi kama kwetu na ndiyo maana Wakenya hawapendi nchi yao lkn kwa Tz kesi ni tofauti, nadhani ni kwasababu nchi haina shida ndio maana wananchi wamelewa raha mpk wanatamani dhiki.
Shida walizonazo Wakenya huwezi kulinganisha na za Watz, shida za Wakenya nyingi ni God given but shida za Watanzania nyingi ni za kujitakia.Wakenya hawapendi shida zilizoko nchini, na ndivo maana unaona wakijaribu kufanya jambo kuyahusu...ila hakuna mwafrika wa nchi ya tatu ambaye anasema kwa uhakika na furaha kuwa hawana shida nchini, labda awe amekuwa brainwashed.