Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115][emoji115]Asehhhh ilo jengo naona limeandikwa NAIROBI TOILET ,Kimafumbo wakenya na mafii mafii[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] damudamu[emoji16][emoji16]
Wivu 😂😂😂😂
 
The best 007 sijaona comment yako yahii Barabara ya mchina hehe. Iwe ya mchina si ya mchina Wacha wajenge zingine mingi hehe this things are extremely beautiful, Kwanza in real life
Huyo haezicomment saa hii😂😂🤣, tangu tugundue yeye ni watchman kamepotea kakaenda kabisa🤣😂
 
nawewe jipige hakuna atakayekuzuia,

ila kaa ukijua upo league local,hatuwezani



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nimekuambia siezijipiga picha Kwa choo kama wewe.😂🤣🤣🤣😂 Kwanza nilikuambia ununue rubbers zingine sijui kama ulinununua, dreads zako pia zilikuwa chafu. Ushaiziosha kweli tangu hiyo siku?🤣🤣😂🤣
 
nawewe jipige hakuna atakayekuzuia,

ila kaa ukijua upo league local,hatuwezani



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hehehe sawa ligi kubwa😂😂

tapatalk_1609676598941 (1)_1.jpeg


20210103_154618 (1).jpg
 
Nimekuambia siezijipiga picha Kwa choo kama wewe.[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Kwanza nilikuambia ununue rubbers zingine sijui kama ulinununua, dreads zako pia zilikuwa chafu. Ushaiziosha kweli tangu hiyo siku?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
usituletee dhki mzee unatia huruma kwa hii thread,,

unaonekana ni mtu wa njaa njaa sana
20220419_212641.jpg
20220419_212817.jpg
20220419_212249.jpg


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kula vizuri ukuwe na mwili. Uongea hapa na wewe ni mifupa tupu[emoji1787][emoji23][emoji1787]
ha haa ,utakufa mzee oambana na maisha ili utoboe ,poor people kama wewe ndiyo huwa wanahitaji kunenepeana hovyo,
huu mwili unatunzwa mzee,unene ni asili yangu ila haukuwa na ishu kwangu nikauoiga chini,

pambana na hali yako
20220419_213535.jpg
20220419_213712.jpg


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom