xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
Mi mwenyewe nliamiaga kwe nyumba yangu ikiwa haijaisha so io HAIBAMBI ata!Heri kukosa madirisha kuliko kuishi hivi na unajiita middle class. 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
Ukiangalia iyo nyumba imeezekwa upande m1 apo ilipo n kama inaendelea na ujenzi na ni standard kuliko hii👇 miboflo apa
kwa mtindo huu atasanda mwenyewe
