Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moderna is going to set up their Vaccine manufacturing plant in Tatu City.

15297656_fqxikxgwuaievux_jpegaddb221f430766d7610a4568ad4782a3.jpeg
 
Ni sawa ila sio kwamba Angola katupita. Ni kwamba Imf inatabiri kwamba Angola itatupita ndani ya mwaka huu ila haijasema lini. Imf huwa inatoa forecast na outlook reports kila mwaka na pia inaweza kubadilisha outlook ya nchi fulani ikiwa unexpected things happen. Wacha nikupe mfano mzuri wa Ethiopia. Imf ilikuwa imetabiri kwamba uchumi wa Ethiopia mwaka wa 2021 utaingia kwenye triple digit club yaani $100 billion lakini baada ya vita kutokea ikailazimisha IMF kubadilisha utabiri huo. Utabiri sio lazima ufanyike, unaweza kufanyika au ukose kufanyika, Mambo yakienda sawa Angola watatupita lakini mambo yakienda kombo, kwa mfano bei ya mafuta ishuke sasa hivi, basi Angola haitatuona. Tatizo la Angola ni kwamba uchumi wao unategemea mauzo ya mafuta kwa asilimia kubwa sana. Unakuta kwamba zaidi ya 80% ya mapato ya serikali inategemea mauzo ya mafuta. Kenya upande mwingine ina diversified economy. Hatutegemei sector moja tu kwa hivyo growth ya uchumi wetu uko stable sana sana. Kinachoweza kuyumbisha ukuaji wa uchumi wa Kenya ni jambo moja tu, ikiwa kutatokea fujo kwenye uchaguzi. Otherwise hakuna jambo lolote linaloweza kufanya uchumi wa Kenya usikuwe.
Huu uchumi wa kenya usioweza jenga 1 km ya sgr tena ya diesel . Uchumi hewa
 
Continue waiting mzee...Hivi unahisi Tz haifanyi Kazi..unaumwa akili

1.Hapo SGR haijanza kufanya kazi
2.Hatujaanza ku mine nickel na graphite tume sign tu mikataba
3. We are on plan to increase holticulture revenues to 3Billion usd in next 5 years from now 1billion usd
4.. Soon tuna compelte kuhamia dodoma ..freeing more funds for other projects

5.Hapo Eacop hata hatujakusia kuanza kujengwa na keep in mind itajengwa

6.Tell me if any those countries are building electrifed railway long as us

7.Hatujakusa kuanza ku mine Iron ya Liganga

8.Bado injection ya 2115 mw from Stiglers Gorge

9 .Tourism iko on rise ingawa ka m nigeria kanajarbu kutuharibia

Sijakusia Manufctring indutries na investement za last year FDI wa more than 3billion usd ..Tax collection up 20%

10.Niendelee mzee ..we just need better leadership ..
Na ule mradi mkubwa wa gesi haujaanza kutekelezeka (LNG).
 
Sasa gas mask ni ya nini kwenye parade? Waafrika tuna ushamba sana 😆😅😂
View attachment 2195360

Halafu wamesahau kuweka yule wa kubeba sufuria 😂 😅

Hayo ni maonyesho ya zana za kivita za jwtz ndio maana wengine wamebeba mijegeja wengine wamevaa kofia wengine wamevaa mask yani pointi yao ni kuwa kuwaonyesha watu zana mbali mbali za kivita sio kutembea tuu
 
Back
Top Bottom