World Bank ipi mkuu? Hii iliyoiweka Russia ni nchi masikini inayoendelea lkn Leo Russia anamnyoosha ndugu yake Ukraine alafu dunia nzima imepoteza mwelekeo?
World bank inayotoa list kila mwaka Tz GDP ni $60 alafu Kenya inapaa,kisa Tz tumekataa kuwa chawa wa mabeberu?
On ground Tz tuna maisha mazuri kuliko nchi yoyote hapa East Africa,ukibisha njoo na fact..alafu mabeberu wanatulist nchi masikini nyuma ya Ghana,nyuma ya Kenya alafu mnachekea mmetupita.. really!!?
Wakenya mna tofauti gani na mtu anayekula ugali Kwa picha ya samaki aliyenona? Alafu aliyekuwekea picha (beberu) anakusifia unafaidi sn kisha unaitikia asante,Kama zuzu fulani.Waambieni hao mabeberu watuweke kapu moja Sawa na Burundi hatujali..Stuka mkenya!!