Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio picha ya mwisho dyfre I have been to the same place. I went there in 2016. Hio place iko along Ngong road but nimesahau jina. Nimejua juu ya hizo lights around the ceiling. Niko na a similar photo in my phone. I may be wrong though. Correct me if I am wrong.
oya oyaa Tony254, pole sikua nimeona hili swali....
hapa ni Wessyde Lounge, GreenSquareMall, Kericho during last year's festive season of december.! ilikua raha ilioje..🔥🔥. Dj Creme de la Creme having relocated back to his hometown of kericho where he was born and bred after many years stay in nairobi, is now the main Dj at the club and frequently hosts his counterparts, Dj JoeMfalme (kenya's No.1 Dj) and Dj KrissDarling on many occasions to grace the party in this evergreen town. hapa ndo tulikua tunajivinjari for the better part of the festive december season.. 💥 🔥🔥

kisha Geza Ulole, anadai eti Wakale washamba saaana...... 🤔 ana bo sana hichi lijibonge la mtu

Screenshot_20220112-105529_Chrome.jpg
Screenshot_20220421-002805_Gallery.jpg

Screenshot_20220420-202140_Chrome.jpg
Screenshot_20220420-202350_Chrome.jpg
Screenshot_20220420-202420_Chrome.jpg
Screenshot_20220420-204812_Facebook.jpg
Screenshot_20220420-204837_Facebook.jpg
Screenshot_20220420-204726_Facebook.jpg
Screenshot_20220420-201212_Photos.jpg
Screenshot_20220420-202523_Chrome.jpg
Screenshot_20220421-062504_Photos.jpg
Screenshot_20220420-201650_Chrome.jpg
Screenshot_20220420-201301_Photos.jpg
Screenshot_20220420-201229_Photos.jpg
Screenshot_20220420-203323_Chrome.jpg
2018-04-21.jpg
Screenshot_20220407-033034_Photos.jpg
Screenshot_20220420-201650_Chrome.jpg
1512156052-3W1A3172_1500px.jpg
 
Kwa akili zako unadhani M23 ni easy easy kama vimilitants vya al shabab mnaopigana nao
M23 ni wanajeshi walioasi wako full training walikuwa wanamiliki hadi vifaru,mizinga sio hao Al shababu wanao ride toyota na kuweka machines gun juu et ndio mnakesha nao hadi leo

Hizo ni baadhi ya picha za hao M23 ziangalie halafu fananisha na al shabau

View attachment 2194603

View attachment 2194607

View attachment 2194610

View attachment 2194612

View attachment 2194613

View attachment 2194614

View attachment 2194615
Hivi kwanini magaidi huwa wanapenda kuvaa malapa au chachachaa? Halafu hawa Wakenya wanawaita eti ni wanajeshi. M23 wako full kwa kila kitu kuanzia sareza jeshi, nidhamu na silaha nzito nzito.
 
👆👆Jamaa limeumwaa hadi basi😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha kudanganya wenzako wewe mwehu 🤣 😂 😂 😂 😂 😂 ., nimekua nchi flani where kuna Wakenya, Waganda na ata Rwandese with few Somalis and South Sudanese kwa pamoja! Tanzanians are perpetually inferior, waoga waoga tu, mko na low self esteem mbele ya wakenya, sijui ni kwa nini mnajibebaga hivyo, ata ukiandika insha hautabadilisha ukweli, waganda are proud and outgoing, wamejikubali na kujipenda walivyo, wako better than u guys socially, usijidanganye, nawajua vizuri sana😂😂😂. Unaumwa kweli, na ni wivu na chuki inakuongoza, ukiongeza blind patriotism wala sio ukweli.., wageni watakuambia tofauti kati ya Kenya pamoja na Wakenya, na Tz na raiya wake, facts are screaming wacha uongo,ni uchungu lakini vumilia, ungefyata tu na uendelee kupita kimya kimya., ila naona umeumia sana., hadi raha 🤣😂😂😂😂😂😂
Ulivyofanya ni kujaza emoj nyingi za kucheka Cheka,sijaona umejibu point yoyote hapo

I'm speaking from experience,Nina ndugu na marafiki Kenya ingawa wamepungua sn baada ya wimbo la Corona.. wengi wamefariki😭
 
Kwa akili zako unadhani M23 ni easy easy kama vimilitants vya al shabab mnaopigana nao
M23 ni wanajeshi walioasi wako full training walikuwa wanamiliki hadi vifaru,mizinga sio hao Al shababu wanao ride toyota na kuweka machines gun juu et ndio mnakesha nao hadi leo

Hizo ni baadhi ya picha za hao M23 ziangalie halafu fananisha na al shabau 👇👇👇

View attachment 2194603

View attachment 2194607

View attachment 2194610

View attachment 2194612

View attachment 2194613

View attachment 2194614

View attachment 2194615
Tofauti ya hawa na wale bandits wa Baringo ni gani?

For your information, Al Shabaab was ranked among the four deadliest terrorists in the world.

VOH-blog-graphic-2022-gti-2022-blog-fig1-5-a.jpg
 
Mangeuz wengi wa TZ\Sio wote,ni washamba alafu ni malazy ass sana wanalalishaga kama kuku wanataga mayai😂alafu wanapenda kuwekwa SIM2! Ni kama wanalipishaga kwa wanaume wao ambao waliamua kuuza SIM2 zao pia😢wat a shame!!!!
Mabooty wa TZ wanajulikana kila kona na wanapendagwa na wazungu sana💩lakini bado nampenda Nandi😎😜maajabu au sio??😂
Acha nafasi unapoandika,una haraka ya nini mkuu?

alafu punguza matumizi ya emoj maana inafanya kutokuonekana haupo serious
 
Someni hii ishu.. afu check hao watu.. their appearances look similar to over 90% kenyan youth in the whole country..wakenya wengi wamekaa kibangibangi ..mf mdogo ni odinga

Wakenya wana maisha magumu sana..wa humu tu ndo hawataki kukubali

Dhiki mkuu.Shida ikiwa ndani ya roho hutokea nje ya mwili. Angalia nyuso zao hazina furaha wala nuru.

Wanaishi maisha magumu hasa chakula tofauti na sisi watz, wanaishi kwa kustruggle sana.Wanaitwa nyang'au kwa vile waishivyo kwao.
 
Bro,me siyo mtu wa majadiliano kwenye hili jukwaa,lkn ngoja nikuambie kitu kuhusu hawa ndugu zetu Kenyans coz nimekaa nao muda mrefu sn

Kenya ni Yule demu anayejisifu ni mkali lkn amepaka make up.Ukiondoa their make up city-Nairobi mengine wanabakiwa kuwa wepesi Kama pamba Kwa Tz

1.Wakenya Wana asilli ya ushamba alafu hawajijui km ni washamba..Rafiki zangu wakenya Wakija bongo ndy wananunua simu nzuri.wao simu zao ni Tecno na infinix, simu ina display km calculator

2.Washamba wa kuvaa,hawajui kuvaa.Washkaji zangu Wanapokaribia kuondoka kwao ndy tunaadamana kufanya shopping ya nguo Kali.mkuu wabongo tunavaa bwana asikuambie mtu.Jamaa yangu mmoja mkenya ananiambia siku akija bongo watoto wake wanafurahia maana Mzee anarudi na nguo Kali,kumbe watoto hawajui mbongo ndy nasimamia show za kumwonyesha sehemu za shopping za familia yake

3.kuna mmoja anaitwa tear gas,huko juu akamwambia mbongo "uchumi wenu wa mama ntilie huwezi compare na Kenya".,Nikacheka Sana niliposikia mama ntilie

Kwa wakenya niliokaa na hapo bongo nilikuwa very comfortable kuwapeleka Kwa mama ntilie kupata chakula kuliko kuingia hotel ya maana..Unajua Kwa nn?

Watanzania si Tu kwamba tuna chakula cha kutosha Bali pia tunajua kupika chakula asee!! Chakula cha mama ntilie bongo ni kitamu mara Mia kuliko chakula cha restaurant ya hadhi hapo Kenya,siwasingizii,km kuna mkenya kawahi Kula chakula cha mama ntilie atakubaliana na Mimi

Bongo ukiwa na buku 3 si Tu umetoboa Kwa mlo wa siku Bali pia Una uhakika wa Kula chakula kizuri Kwa 'mama ntilie'

Wazee wa sukuma wiki na chainizi utadhani hizo mboga walifunga nazo ndoa..wabovu kwenye mapishi

Kwa kifupi ni kwamba,si Tu Kenya ina tatizo la chakula,Bali hata Hilo chakula walicho nacho hawajui kupika!! Mboga yako kuu ni sukuma wiki na chainizi huko kwao
.Wakenya wanakula chakula Kama dawa,chakula kibaya sijui tatizo ni nini

Mara kumi Mombasa unaweza kuenjoy chakula tena nadhani Kwa sababu ni pwani na imekaribiana na Tz (Tanga).. joke

Hapa nazungumzia maisha ya mkenya wa kawaida na mtz wa kawaida kabsa,siyo hawa wa humu wanaojinasibu ni wasomi na Wana maisha laini

On the ground Tz we are far better than wao,wasikuchoshe ubongo..Hauwezi kuwa mshindi wa kila kitu,yes!!..pia Hawawezi wao kuwa Bora zaidi ya Tz Kwa kila kitu,kuna vitu tumewaacha mbali sn

Tatizo Lao kuu ni moja tu..Ujuaji mwingi na kujiona na wapo mbele Kwa kila kitu na anapenda mkumfanya mbongo kujihisi ni inferior.mkenya akiwa na mtz atafanya kila namna kuijionyesha kwamba I'm Kenyan lkn kumbe ni kilaza tu,na Kwa sababu wabongo ni wapole,basi vita nyingi wakenya wananyanyua kwapa,wanabeba kombe

Kuwe na mkenya,mtanzania na mganda,wakae pamoja lazima kutakuwa na kutunishiana misuli au bifu Kati ya mtz na mkenya hata kimya kimya bila wengine kunotice,sijui tatzio ni nini huu upinzani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huwezi kutumia the few friends of yours to judge a country vague Information ama tulinganishe Mimi nawewe tufanye statistics tujue Nani ndiye more exposed. Just for statistical purposes
 
CBC System of education now starting to take shape. .. as Tanzania use their old methods we advancing they will still come here comparing, tunajenga Kwa pesa ya ndani ndo mtasema Badala ya kutumia pesa hizo kuboresha elimu Na maslahi then Jenga Na pesa za kupewa ulipe polepole soon we will have a very skilled IT industry
20220420_224409.jpg
 
Points noted but support your claims with evidence...ama unataka world bank wangushe tena list?
World Bank ipi mkuu? Hii iliyoiweka Russia ni nchi masikini inayoendelea lkn Leo Russia anamnyoosha ndugu yake Ukraine alafu dunia nzima imepoteza mwelekeo?

World bank inayotoa list kila mwaka Tz GDP ni $60 alafu Kenya inapaa,kisa Tz tumekataa kuwa chawa wa mabeberu?

On ground Tz tuna maisha mazuri kuliko nchi yoyote hapa East Africa,ukibisha njoo na fact..alafu mabeberu wanatulist nchi masikini nyuma ya Ghana,nyuma ya Kenya alafu mnachekea mmetupita.. really!!?

Wakenya mna tofauti gani na mtu anayekula ugali Kwa picha ya samaki aliyenona? Alafu aliyekuwekea picha (beberu) anakusifia unafaidi sn kisha unaitikia asante,Kama zuzu fulani.Waambieni hao mabeberu watuweke kapu moja Sawa na Burundi hatujali..Stuka mkenya!!
 
Bro,me siyo mtu wa majadiliano kwenye hili jukwaa,lkn ngoja nikuambie kitu kuhusu hawa ndugu zetu Kenyans coz nimekaa nao muda mrefu sn

Kenya ni Yule demu anayejisifu ni mkali lkn amepaka make up.Ukiondoa their make up city-Nairobi mengine wanabakiwa kuwa wepesi Kama pamba Kwa Tz

1.Wakenya Wana asilli ya ushamba alafu hawajijui km ni washamba..Rafiki zangu wakenya Wakija bongo ndy wananunua simu nzuri.wao simu zao ni Tecno na infinix, simu ina display km calculator

2.Washamba wa kuvaa,hawajui kuvaa.Washkaji zangu Wanapokaribia kuondoka kwao ndy tunaadamana kufanya shopping ya nguo Kali.mkuu wabongo tunavaa bwana asikuambie mtu.Jamaa yangu mmoja mkenya ananiambia siku akija bongo watoto wake wanafurahia maana Mzee anarudi na nguo Kali,kumbe watoto hawajui mbongo ndy nasimamia show za kumwonyesha sehemu za shopping za familia yake

3.kuna mmoja anaitwa tear gas,huko juu akamwambia mbongo "uchumi wenu wa mama ntilie huwezi compare na Kenya".,Nikacheka Sana niliposikia mama ntilie

Kwa wakenya niliokaa na hapo bongo nilikuwa very comfortable kuwapeleka Kwa mama ntilie kupata chakula kuliko kuingia hotel ya maana..Unajua Kwa nn?

Watanzania si Tu kwamba tuna chakula cha kutosha Bali pia tunajua kupika chakula asee!! Chakula cha mama ntilie bongo ni kitamu mara Mia kuliko chakula cha restaurant ya hadhi hapo Kenya,siwasingizii,km kuna mkenya kawahi Kula chakula cha mama ntilie atakubaliana na Mimi

Bongo ukiwa na buku 3 si Tu umetoboa Kwa mlo wa siku Bali pia Una uhakika wa Kula chakula kizuri Kwa 'mama ntilie'

Wazee wa sukuma wiki na chainizi utadhani hizo mboga walifunga nazo ndoa..wabovu kwenye mapishi

Kwa kifupi ni kwamba,si Tu Kenya ina tatizo la chakula,Bali hata Hilo chakula walicho nacho hawajui kupika!! Mboga yako kuu ni sukuma wiki na chainizi huko kwao
.Wakenya wanakula chakula Kama dawa,chakula kibaya sijui tatizo ni nini

Mara kumi Mombasa unaweza kuenjoy chakula tena nadhani Kwa sababu ni pwani na imekaribiana na Tz (Tanga).. joke

Hapa nazungumzia maisha ya mkenya wa kawaida na mtz wa kawaida kabsa,siyo hawa wa humu wanaojinasibu ni wasomi na Wana maisha laini

On the ground Tz we are far better than wao,wasikuchoshe ubongo..Hauwezi kuwa mshindi wa kila kitu,yes!!..pia Hawawezi wao kuwa Bora zaidi ya Tz Kwa kila kitu,kuna vitu tumewaacha mbali sn

Tatizo Lao kuu ni moja tu..Ujuaji mwingi na kujiona na wapo mbele Kwa kila kitu na anapenda mkumfanya mbongo kujihisi ni inferior.mkenya akiwa na mtz atafanya kila namna kuijionyesha kwamba I'm Kenyan lkn kumbe ni kilaza tu,na Kwa sababu wabongo ni wapole,basi vita nyingi wakenya wananyanyua kwapa,wanabeba kombe

Kuwe na mkenya,mtanzania na mganda,wakae pamoja lazima kutakuwa na kutunishiana misuli au bifu Kati ya mtz na mkenya hata kimya kimya bila wengine kunotice,sijui tatzio ni nini huu upinzani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu hujaongea uongo hata mimi ndivyo niwajuavyo. Me sijawahi kuona Mganda akimtunishia msuli mbongo huwa wako vizuri na sisi. Hawa jamaa wanafake sana maisha.
Walio na maisha mazuri huko kwao ni wachache ila asilimia kubwa ni mafukara wakutupwa.
 
though it is a good idea to learn coding at early age, what happened to the 2017 election promise of a tablet for each kid by Uhuruto?
The program is rolling slowly there are schools that have started being issued. And the syllabus is something different it's something that has already been approved and being included in school timetables
 
World Bank ipi mkuu? Hii iliyoiweka Russia ni nchi masikini inayoendelea lkn Leo Russia anamnyoosha ndugu yake Ukraine alafu dunia nzima imepoteza mwelekeo?

World bank inayotoa list kila mwaka Tz GDP ni $60 alafu Kenya inapaa,kisa Tz tumekataa kuwa chawa wa mabeberu?

On ground Tz tuna maisha mazuri kuliko nchi yoyote hapa East Africa,ukibisha njoo na fact..alafu mabeberu wanatulist nchi masikini nyuma ya Ghana,nyuma ya Kenya alafu mnachekea mmetupita.. really!!?

Wakenya mna tofauti gani na mtu anayekula ugali Kwa picha ya samaki aliyenona? Alafu aliyekuwekea picha (beberu) anakusifia unafaidi sn kisha unaitikia asante,Kama zuzu fulani.Waambieni hao mabeberu watuweke kapu moja Sawa na Burundi hatujali..Stuka mkenya!!
Hii ndo effect ya bad education system hehe! Sasa mnaamini eti world bank inawaonea 😂😂😂😂 kwani Tanzania haijui how to calculate GDP???? The information is in public domain punguza ushamba kidogo be exposed Na mtie bidii moandishe GDP
 
Kwahiyo katik culture media unapanda Hadi viruses siku hizi sio🙄
Analytical job sio kazi ya mjengo. When I'm doing microbiological analysis I'll only need a maximum of 4hrs in a day. These 4 hrs I'll divide into four,

The first 30 minutes is environmental control of the analysis room. Environmental control is done to ensure there's no contaminants in the room which can tamper with the analysis, I do it daily in the morning. The control is done by fumigations and wait for 1h 30min for the fumigants to take effect. In these one hour thirty minutes unataka nilale ama?🤣😂😂.

The second section is sample and media preparation, this one is just to remove the stored sample from the refrigerator and let it to warm up to a room temperature here my attention is only needed for maximum of ten minutes. Waiting for the samples to warm is 2 hrs, ebu niambie hizo 2hrs unataka nifanye nini?😂

After the samples have warmed up the next step is media preparation. This is the bulk part of analysis because you have to weigh the media powder and make the liquid media from it. This one alone takes around 1h 45 mins.

The third section is media and test tubes sterilization. Sterilization will only need 10 minutes of my time, that's setting autoclave, starting it and stopping it. Autoclaving takes around one hour to be complete. If I may ask, hiyo one hour unataka nifanye nini?😂😂

The final part is plating and incubation. I do pour plating so it doesn't take much of my time (1 hr). Incubation takes around 2 -5 days depending on the type of bacteria or virus you are dealing with. Vibro Cholerae, Escherichia coli, Listeria spp, Staphylococcus aureus and other gram negative bacteria take two days to grow. Salmonella takes 5-7 days.
 
Back
Top Bottom