Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Sijui mbona unasumbuana na hawa watu?😂😂 99% of Tanzanians in this thread hawajui what microbiology entails na pia hawajui the functions of the instruments and equipment in that room.Wewe hio inaitwa ventilation mzee, wacha ushamba. Lab ambayo ina incubators ya kupika bacteria lazima iwe na ventilation ya kutoa hio moshi nje. Hahaha 😆😅😂. Anyway sisi wote hatujui kazi ya hilo dude. Hatujasomea course ya lab technologist. Muulizeni Teargas atawajibu.