Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best part of the deal is this one.

Screenshot_20220418-132503_1.jpg
 
Without Kenya most of your artists hawangejulikana

View attachment 2191562
Why don't you guys empower your kunyaland artist. Hata huyo Willy Paul nilimjua baada ya kuimba na Nandy . Kitu kivuli hakijifichi mbona wahu , nameless , prezoo, nazizi waliokua famous hata Tanzania ? Generation ya sasa ya kikunya mnaiga sana nje ndio maana mziki wenu haupenyi huwezi waiga nje ukawazidi . Sauti soul wanafanya vizuri kwa sababu mziki wao ni mzuri . Lakini industries ya mziki bongo imekua kubwa sana huwezi linganisha na kunyaland . Fikiria msanii wa Colombia kama maluma anafanya collabo na wa bongo ndio ujue mziki wa kibongo umesafiri sana

Nigeria mziki wao umetuzidi pia unasaidiwa na wa Nigeria wenyewe wapo huko nje wamesafiri miaka mingi sana . Wamejaa nchi nyingi duniani ndio maana rahisi wenyewe kupata promotion na kujaa kokote . Jamaa wamezagaa kuanzia Afrika hadi ulaya . Huku bongo wanacheza soka kwenye timu kama coastal union na nyingine ndogondogo
 
I'm not ready to read your long story 😂😂

Screenshot_20220418-004559.png

Screenshot_20220418-104221.png
 
There's a certain country that I know which could have imported all these vehicles. Imagine hizi ni magari zimekuwa assembled na Isuzu pekee

View attachment 2191757

View attachment 2191758

View attachment 2191759

View attachment 2191760

View attachment 2191761

View attachment 2191762
wah.!!🙀🙀 Teargas, imagin i already assumed this was in KwaZuluNatal Province in South Africa, until i saw those KenyaPoliceTracks, ndo nika realize kumbe hapa sio SA bali Kenya.!!
..hii nayo ni kali sana mzee.. 🔥🔥

images (63).jpeg
images (62).jpeg
images (67).jpeg
kenya police tracks👇🏽👇🏽
images (61).jpeg
 
An opportunity for Tanzanians to visit this thread on Twitter and do what they know Best 😂
 
Hivi mkiwa na njaa mnafikiria vipi?
Muna magari lakini chakula hamuna sijui utajiri gani huu.
 
I think they will just be setting up the second assembly line because assembling of those vehicles is already happening in Kenya.
mbona wasipeleke tu hio 2nd plant to tanzania, coz kenya already has one... 🤔🤔 watanzania wanafaa kuandaa maandamano juu ya hili jambo nadhani..🤔
 
Back
Top Bottom