Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi watu wanabuy brand new Porsche kutoka kwa showroom. ichoboy01 kuja usafishe macho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Porsche mpya ndiyo inabebwa na huo mtambo wa gongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mamaaee kutoka leta evidence mpk lame excuses, cku hz media zinaipendelea sn Tz, kila kitu ni Tz...the most....in EAC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Empty debe, kelele ya chura.
 
Porsche mpya ndiyo inabebwa na huo mtambo wa gongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujeni muone mshamba hajawai kuona delivery ya brand new car. 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Muwachane na magari za over 20 years. Take notes.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unabadili mada angani, unakula pini mpaka Unatafuta pakukumbilia πŸ˜‚πŸ˜‚.. anyway kuna mkenya yeyote mwenye anamiliki Rolls-Royce calinan.. kama hii ya mtoto wa kimaskini tu.? πŸ‘‡kwenye barabara za Kenya nzima kuna Rolls-Royce calinan 2021.?
 
Huyu mama anatuabisha sana aisee. Nlidhani alijifunza kwenye ile trip ya kwanza! Si angempa hiyo kazi balozi wa TZ aliepo US au waziri wa utalii?
Hicho kichwa chako kimeanza kuoza ,yumkini unashindia viporo..

Kwa hiyo Balozi au Waziri Wana uzito sawa?

Nimewahi ku attach photos humu za Museven akitangaza utalii wa Nchi yake na kashiriki,hakukuwa na Balozi au Waziri? Acha utoto
 
Sio mzalendo ila kazi inaonekana kwa macho, hao ambao walikuwa wazalendo walituletea neti na madeni kama awamu ya sasa hakuna inachofanya zaidi ya kutembelea nyota ya fisadi Magufuli.
Kazi ikionekana ndio inahalalisha wizi? Nani ambae Kazi haionekani? Umejaa usaha kichwani fala wewe..
 
Mombasa inasusha 10,000 TEUS at a go. Only Durban can achieve that feet in SSA.
 
Nani bongo akona Lamborghini Urus?
 
ila mwaka huu tutaona mengi sana
Ulivyo fala unashindwa kujua kwamba CAG anaripoti hayo yalitendeka Chini ya Mwendazake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..

Wazalendo wa Chato mrudishe hizo pesa.Ukaguzi ni WA 2020/21,Samia ndio alikuwa Rais?

Sukuma gang jiandaeni kwenda jela,Samia ataleta Katiba kujikosha kutawaisha.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…