Mkuu ni kipengele gani cha Katiba ya Sasa ambacho unadhani ni kibovu?. Je kikibadilishwa unadhani ni Mambo gani yatabadilika nchini?.Umesema vyema lakini sidhani kama huyu mama anaweza kuwa na hizo guts za kubadilisha katiba coz hata yeye anabebwa na hiyo katiba mbovu ambayo ina mapungufu mengi (out dated) na viongozi wengi wa CCM na serikali hawatakuwa tayari ku-commit political suicide kwa kuruhusu mabadiliko ya katiba at least kwa sasa.
Leafy suburbs. Hewa safi, Luxury living tupu.ona pori hilo sasa 🤣🤣🤣🤣
uhehehhe kumbe ukiwa na pori inaitwa suburb 😂😂😂😂Leafy suburbs. Hewa safi, Luxury living tupu.
Google maana ya leafy suburbs utoe ushamba.uhehehhe kumbe ukiwa na pori inaitwa suburb 😂😂😂😂
ukhekhekhe jengeni kwanza mupate density alaf muje kushindana na dar🤣Google maana ya leafy suburbs utoe ushamba.
Density ya highrise hii Africa ni ya Joburg, Cairo, Nairobi na Luanda. Dar iko kwa others.ukhekhekhe jengeni kwanza mupate density alaf muje kushindana na dar🤣
hii ndio density iliojaa mapori hvi ww huna macho ??😂😂😂😂Density ya highrise hii Africa ni ya Joburg, Cairo, Nairobi na Luanda. Dar iko kwa others.
![]()
Maskini that control your economy?🤣😂😂Makampuni yenu yote 524 yamewekeza $1.2B, Mo peke yake amewekeza $1.6B Tanzania, ninyi ni masikini wa kutupwa
We feed you, we employ you so that you send money back home, we dominate you as your major source of your imports, who controls who?




Hii ni kiwanja kubwa na ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣 🤣hii ndio density iliojaa mapori hvi ww huna macho ??😂😂😂😂
Huyo anakuanga empty brain😂🤣Google maana ya leafy suburbs utoe ushamba.
We employ Tanzanians both home and away. 🤣😂🤣🤣We feed you, we employ you so that you send money back home, we deminate you as your major source of your imports, who controls who?![]()
Without Tanzania, there is nor EAC,
Mkuu sina namna bora ya kujibu swali lako zaidi ya kukuambia kwamba linganisha katiba yetu ya sasa na maoni/mapendekezo yaliyomo katika rasimu ya katiba ya tume ya katiba ya warioba. Lazima tukubali tu ukweli kwamba katiba yetu ya sasa ina mapungufu makubwa hasa katika kipindi hiki cha multipartism and freedom of speech. Ndio maana tunategemea mawazo /maoni ya rais na wala si mfumo umnavyomtaka afanye kazi . Mambo ni mengi sana ya kuboresha soma rasimu ya katiba.Mkuu ni kipengele gani cha Katiba ya Sasa ambacho unadhani ni kibovu?. Je kikibadilishwa unadhani ni Mambo gani yatabadilika nchini?.
Tujifinze kutoka kwa majirani zetu ambao walibadili Katiba kwa shangwe na vigelegeke, Je wamefaidika nini?, Mbona matatizo na hali zao za kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio zinazidi kuwa mbaya zaidi?