Kwahiyo mtu kukuambia kwamba "he is better informed in specific areas ni kukuvunjia heshima?



. Hivi lengo la hii forum ni lipi Kama sio kukosoana, kuelimishana na kulumbana?.
Tony 254 you better than this, tunapolumbana na kukosoana, sio lazima mmoja ashinde au ashindwe, malumbano yanaweza kuendelea "endlessly so long as there are new facts to keep discussion going on".pia kumbuka kwamba watu wengi humu wanafuatilia haya mazungumzo ambao wengine wanajua zaidi hiyo mada kuliko Mimi na wewe.
Hii tabia yenu ya kususa mijadala bila kutukwana ni tabia ya watu wasiopenda kukosolewa, kujifunza mambo mapya na wasio na uvumilivu.