Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa unawaumbuaga hawa watu.
Wakunya sio wastaarabu, huwezi ku have wise debate with them because they feel inferior ktk kila kitu na ndiyo maana huwa wanamlaumu Mungu kukosa mali katika ardhi yao, sasa wana msongo wa mawazo plus ugumu wa maisha ndiyo wana apply humu, kwahiyo uki debate na watu kama hawa usi apply huruma we piga popote hasa pale panapouma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endeleeni hivyo hivyo kupaka ma make up kamji kenu ila hakuna wa kumdanganya hapa, sehemu kubwa iko wazi na chini vumbi hiyo iko wazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hello warthog 😂👋

Screenshot_20220401-160235_Chrome.jpg
 
Duuhh kaka hii sasa kufuru, yani pikipiki moja hizo zinazofanywa bodaboda inauzwa milioni 11? Mama anaupiga mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taarifa imekosewa ni pikipiki 268 nadhani ambazo tayari 68 zimeshakabidhiwa. Serikali walisahihisha hizi taarifa.
 
Ambazo hata hivyo ni pesa kutoka Tanzania, mafukara hamna uchumi wowote bila Tanzania 😂😂😂😂

Mnatuchosha na makelele yenu ya hovyo. Kenya hupokea remittamce ya $3 billion kila mwaka. $50 million pekee ya hio $3 billion ndio inatokea Tanzania. Hio $2.95 billion nyingine intokea mataifa mengine. Sasa 40% ya hii $3 billion inatokea Marekani pekee. Kenya inapokea more than $1 billion ya remittance kutoka Marekani halafu mpo hapa kuringa na $50 million. Hata hatuwezi kupumua humu?
 
Hiyo pesa hata serikali yenu haiwezi kuwa nayo ndio maana hamuwezi kujenga hata kilometer 1 ya changarawe bila mkopo au msaada 🤣

Halafu sio $50 million tu, anaekutumia wewe million 1 ujue kabakiwa na million 7, hiyo million 1 ni ziada tu

So ni mara 10 ya hiyo Tanzania inatoa kwa Wakunya whether you spend it in Tanzania or kunyaland
 
Back
Top Bottom