unasema wewe.., we can if we want.., tajiri akichukua loan kufanya biashara haimaanishi hana uwezo, kuna factors at play if u understand dynamics za economics kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ., we can forego many things in our budget na tujengee na Uganda watulipe pole pole.., sisi sio nyinyi mnajiumiza eti SGR ya umeme na inawachukua miaka mingi kilomita chache na mmekopa pia😛[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].., tuko na uwezo tena mingi.., pesa tu yenye Kenya inatenga kwa elimu ni zaidi ya yenu ya development..., na bado other sectors sijataja.., hamuiwezi Kenya, ni fikra zenu uchwara zinawadanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]