Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kampuni inayounda jiko nyingi sana duniani kumbe ni kampuni ya Kenya. Mwezi huu wanatengeneza jiko 70,000 na nyingi zinakuwa exported nje ya Kenya.
 
Nyie mbona msikope? U r smarter than this! Nyie endeleeni kujenga vitu kama Nairobi Express kwa mikopo sie tuko busy kufikisha SGR DRC Congo, Burundi, Rwanda na Uganda! Huoni soo kule kichapo cha EACOP huku cha SGR? 🤣🤣🤣
Kwa taarifa yako Nairobi expressway ndio barabara ya pekee Afrika Mashariki nzima ambayo ni ya ppp na mkandarasi ndiye anayegharamikia costs zote za ujenzi. Hakuna mkopo pale kwa GoK. Sasa sijui unazungumzia mkopo upi. Contractors wachache sana wanaweza kudhubutu kufinance miradi wenyewe kutumia pesa yao wenyewe unless project yenyewe ni viable. Ukiona hakuna contractor aliyejitokeza kufinance miradi zenu, ujuwe miradi zenu ni mbovu sana.
PPP haitumiki katika nchi yoyote ya EA isipokuwa Kenya. Sasa hata makaazi ya KDF pia yanajengwa kutumia PPP model. Private sector ndio inafinance ujenzi, GoK haitoi hata shillingi moja kwenye ujenzi huu. Kisha KDF italipa rent na baadaye kumiliki nyumba hizo.

Nyie mna mradi upi wa ppp hapo TZ. Nionyeshe hata moja.
 
Kuna jiran ataona wivu kuwa kumbe tulipata mkopo hadi wa kununua freight wagon😃
20220412_105242.jpg
 
Kwa taarifa yako Nairobi expressway ndio barabara ya pekee Afrika Mashariki nzima ambayo ni ya ppp na mkandarasi ndiye anayegharamikia costs zote za ujenzi. Hakuna mkopo pale kwa GoK. Sasa sijui unazungumzia mkopo upi. Contractors wachache sana wanaweza kudhubutu kufinance miradi wenyewe kutumia pesa yao wenyewe unless project yenyewe ni viable. Ukiona hakuna contractor aliyejitokeza kufinance miradi zenu, ujuwe miradi zenu ni mbovu sana.
PPP haitumiki katika nchi yoyote ya EA isipokuwa Kenya. Sasa hata makaazi ya KDF pia yanajengwa kutumia PPP model. Private sector ndio inafinance ujenzi, GoK haitoi hata shillingi moja kwenye ujenzi huu. Kisha KDF italipa rent na baadaye kumiliki nyumba hizo.

Nyie mna mradi upi wa ppp hapo TZ. Nionyeshe hata moja.
Endelea kudanganywa...🤣🤣👇👇

ASSESSMENTS​

Kenya's Next President Will Inherit an Unsustainable Debt Burden

Apr 11, 2022 | 20:10 GMT

A construction worker adds gravel to the tracks of a section of the new Standard Gauge Railway (SGR) in Nairobi, Kenya, in June 2018.

A construction worker adds gravel to the tracks of a section of the new Standard Gauge Railway (SGR) in Nairobi, Kenya, in June 2018.
(YASUYOSHI CHIBA/AFP via Getty Images)

The winner of Kenya's upcoming presidential election will inherit an increasingly unsustainable debt burden, with repayments slated to overtake the national government's recurrent spending programs beginning in July. Kenya will hold general elections on Aug. 9 in which voters will cast ballots for the country's president and national legislature, along with various regional positions.

The presidential race, in particular, is expected to be highly contentious and could hold significant repercussions for Kenya's financial outlook, as massive infrastructure projects continue to drive the government deeper into debt (which now totals an estimated $71 billion, or 70.2% of Kenya's GDP).

Kenyan President Uhuru Kenyatta's government has increased borrowing to build his ambitious ''legacy projects,'' which include the Standard Gauge Railway, the Nairobi Expressway and the Lamu port. In funding these infrastructure projects, which are estimated to cost a total of $47.8 billion, Kenyatta's government has relied on Eurobond offerings, a package of...

Hiyo hela hadi najiuliza kwani bajeti ya nchi yao imekua shilingi ngapi? Sifa za kijinga
Their budget is worth 3.3 Trillion kshs, out of this 1.36 Trillion goes to pay debt( Debt repayments) and 1.34 goes to recurrent expenditure! So for the first time in their country's history debt repayments have now exceeded recurrent expenditure which unfortunately is not good at all, 600 billion kshs ndiyo inayobaki for development expenditure ambapo pia unaweza kuwa mkopo.
 
Huyu mwizi anatafuta nn Tanzania? asiruhusiwe kununua Benki nchini! hamna kitu cha maana kampuni za Kikunya zimewahi kufanya Tanzania zaidi ya kuharibu biashara! Mama akitaka nimchukie, akope Equity Bank!
Unamuita mwizi? One of the biggest foreign investors in Tanzania? Unadhani huyo yupo ligi yako au yangu? Bank aliyoanzisha kama cooperative society miaka 35 zilizopita sasa ni top 25 biggest banks in Africa? Top 2 biggest in Kenya and a bank with a branch in almost every EAC country? Bank yenye balance sheet ya $10 billion ambayo ni 15% ya Gdp yenu? Huyo ni investor mkubwa huko kwenu, muheshimu.

Back
Top Bottom