dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
naona hili jambo limekuuma sana.. BTW hii signage haipo kila mahali jinsi unavyo dhania, waandisi wa kenya sio wajinga, walienda skuli...Barabara ya 2 lanes kama hiyo hizo distances signs zinakua kwenye huu mfumo, msilazimishe to fake living kind of life outside your means, ulaya wannabes 😅😅😅
View attachment 2184541
hili tu lilikua ni baadha ya kupita virtual weighbridge pamoja na huu mradi unayoendelea hapa