nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa:
Fake news.Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa:
![]()
endelea kutikisa matakoFake news.
Hili jengo Wakunya walikuwa wanadai ni Nairobi!mkuu, hii ipo sehemu gani ya Tanzania?
Why show me TBT when the current state of that port is all muddy
hahhahahahahahaha, wakunya bwanaHili jengo Wakunya walikuwa wanadai ni Nairobi!
So kama renders zinafanana tusipost?
Hil jengo nishaona humu ndani Wakunya wakidai hii project ipo Nairobi!


Again, is that project in Tanzania?


Tanzania can't have projects like these. Jazeni zile tower zenu tatu kwanza ndio muanze kufikiria about new projectsmkuu, hii ipo sehemu gani ya Tanzania?


Why show me TBT when the current state of that port is all muddy
wakenya watakula mawe sasa 🤣🤣🤣
ni Mungu pekee atawakomhoa😂😂😂
tangu lini ww ukawa mhasibu wa mgodi wa tanzania ??🤣🤣🤣🤣
shughulika na ushuzi huu kwanza
Tuzungumzie mahitaji muhimu kwanza Kama chakula kuwekewa Kodi huko KenyaTanzania can't have projects like these. Jazeni zile tower zenu tatu kwanza ndio muanze kufikiria about new projects![]()