chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,034
Nimependa hii numberItarudi after one year, alafu three quarters ya hizo vehicles sio zao [emoji23][emoji23]
Na lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...Nimependa hii number
Gari almost 3000 zinaenda DRC (nilimuambia Tony254 gari nyingi za DRC zinapita Tanzania akabisha) zinaenda Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Mozambique, Malawi, South Sudan
Hii ina maana ukiondoa gharama za bandarini watazolipa lakini madereva watakua Watanzania na mafuta watanunua Tanzania, zaidi ya ajira za muda almost 3000 zimezalishwa kwa siku 1 tu.
Mombasa inahudumia 95% ya biashara yote Kenya tu
This makes Tanzania regional logistics hub

Wanasema katika hizi siku 5 gari 8000 zimeshuka na bado kuna meli mbili zipo on queue zote zinaoffload 4000 cars yote hii ni scope ya siku 10 tu wakati kabla ya ro-ro berth mwezi mzima walikua wanaoffload gari 10k tuNa lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...
Nngekuwa TPA nngefikiria kujenga Berth nyingne ya Roro ..anyways statistics zinaonesha toka hii roro berth mpya imefunguliwa Meli za Magari zimezidi kuongezeka
Mh ila biashara si magari tu! Hii iliyopo mbona bado kubwa tatizo ni mlundikano ambao hautaisha hata zikiwa tatu! Japokuwa SGR itasaidia. Kiukweli inapaswa gari isikae zaidi ya siku hapo berth 0! Kuna umuhimu kufanyike upanuzi wa berths upande wa Tiper kwa ajili ya more containerized cargo, cruise ships terminal (japo nilishawahi skia itakuwa Kunduchi) na mafuta ikiwemo vimiminika tofauti zaidi ya crude na pia delicate perishable cargo yaani cold rooms e.t.c! SGR itahitaji mzigo mwingi wa makontena!Na lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...
Nngekuwa TPA nngefikiria kujenga Berth nyingne ya Roro ..anyways statistics zinaonesha toka hii roro berth mpya imefunguliwa Meli za Magari zimezidi kuongezeka
90% ya mizigo ya Uganda inapitia Mombasa port.Nimependa hii number
Gari almost 3000 zinaenda DRC (nilimuambia Tony254 gari nyingi za DRC zinapita Tanzania akabisha) zinaenda Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Mozambique, Malawi, South Sudan
Hii ina maana ukiondoa gharama za bandarini watazolipa lakini madereva watakua Watanzania na mafuta watanunua Tanzania, zaidi ya ajira za muda almost 3000 zimezalishwa kwa siku 1 tu.
Mombasa inahudumia 95% ya biashara yote Kenya tu
This makes Tanzania regional logistics hub
my friend rugby 🏉 is the real deal..!🔥 never ever will i compare football with this high-end and classy sport.! in kenya, rugby is associated with the rich and the upper-class..Michezo ya kisenge senge kama hii hatuna mpango nayo.
Angalieni baada ya miaka mi5 hamtawaona kama muwaonavyo leo90% ya mizigo ya Uganda inapitia Mombasa port.
akikujibu niite!
Record after record, kuna watu wameshusha magari 200 wanapiga kelele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar 😅
Turudi studio 😅😅😅Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar 😅
plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum 🤣🤣
Pale TPA inahitajika berth Kwa ajili ya containers tupu na machines za kutosha offloading and loading. Pia a large area for loose cargo na mitambo.Na lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...
Nngekuwa TPA nngefikiria kujenga Berth nyingne ya Roro ..anyways statistics zinaonesha toka hii roro berth mpya imefunguliwa Meli za Magari zimezidi kuongezeka
Hahaha wewe unataka battle ya Dar es Salaam port versus Mombasa port? Hahaha. Muulize Geza Ulole atakueleza jinsi Watanzania huwa mumeshindwa kwenye hiyo battle. Wacha nikupe advice, tafuta battle mahali pengine wachana na mambo ya ports kwa maana hio battle huwa hatufanyi huku. Malazy walishakubali kwamba wameshindwa kwenye hio battle. Lakini kama unataka kulianzisha dude wewe sema tu, mimi niko tayari.
Watu hawana ufahamu wa nn bandari inahitaji haswa na nn cha kuifanya iwe na ufanisi! Kingine SGR ikianza, hata magari yatabebwa pia!Pale TPA inahitajika berth Kwa ajili ya containers tupu na machines za kutosha offloading and loading. Pia a large area for loose cargo na mitambo.
RoRo berth inatosha kabisa na uzuri magari ni self drive hivyo pakijaa wanaweza kuhamishia kwenye ICD tu. Na ni ngumu gari kujaa maana utaratibu wa magari uko fasta kidogo. Gari inaweza kutoka kwenye meli Leo na kesho ukaingia nayo barabarani clearance cycle iko fast than containers.
Hakuna battle ya Dar na Mombasa kwenye mafuta mganda anayorefine mwenyewe tilenga na kingfisher wapo kwenye ujenzi wa Refinery as we talk na usitegemee mganda kuingiza mafuta kutoka nje wakati anazalisha mwenyewe mafuta yake kwa miaka zaidi ya 40Hahaha wewe unataka battle ya Dar es Salaam port versus Mombasa port? Hahaha. Muulize Geza Ulole atakueleza jinsi Watanzania huwa mumeshindwa kwenye hiyo battle. Wacha nikupe advice, tafuta battle mahali pengine wachana na mambo ya ports kwa maana hio battle huwa hatufanyi huku. Malazy walishakubali kwamba wameshindwa kwenye hio battle. Lakini kama unataka kulianzisha dude wewe sema tu, mimi niko tayari.
Mambo ipo hukuHahaha wewe unataka battle ya Dar es Salaam port versus Mombasa port? Hahaha. Muulize Geza Ulole atakueleza jinsi Watanzania huwa mumeshindwa kwenye hiyo battle. Wacha nikupe advice, tafuta battle mahali pengine wachana na mambo ya ports kwa maana hio battle huwa hatufanyi huku. Malazy walishakubali kwamba wameshindwa kwenye hio battle. Lakini kama unataka kulianzisha dude wewe sema tu, mimi niko tayari.
Mafuta haizidi 10% ya imports ya Mganda. Kwa hivyo hata tukiondoa shehena ya mafuta bado 90% ya imports ya Mganda itaendelea kupitia Mombasa port.Hakuna battle ya Dar na Mombasa kwenye mafuta mganda anayorefine mwenyewe tilenga na kingfisher wapo kwenye ujenzi wa Refinery as we talk na usitegemee mganda kuingiza mafuta kutoka nje wakati anazalisha mwenyewe mafuta yake kwa miaka zaidi ya 40
Miaka 40 Mombasa bila shehena ya mganda ni pigo kwenu wala usilete ushabiki.
10%? Sure? 🤔Mafuta haizidi 10% ya imports ya Mganda. Kwa hivyo hata tukiondoa shehena ya mafuta bado 90% ya imports ya Mganda itaendelea kupitia Mombasa port.
sawa tuseme ni 24%, bado 70% ya imports itapitia Mombasa port.
Kuna mahusiano gani kati ya kufanya upasuaji wakati mgonjwa anajitambua ? Nakufanya upasua bila kupasua fuvu?I know these things are new to you[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 2180798