The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Nimeona kuna comment umefuta, ushamba kitu mbaya sana, watanzania oneni huyu mkunya ushamba umemzidi anasema hakuna brain surgery without opening the skull [emoji3517][emoji88][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Whatever you are doing now Kenya did them long ago[emoji1787][emoji23]
NonsenseSome of you laughed when I said, on day 1 of Putin's "special military operation" in Ukraine, that Russia was a third-rate military power--Bangladesh with nuclear weapons. 40 days into the war, as the Russians increasingly turn tail, it is becoming obvious that even this assessment understated the country's military ineptitude.
Russia has been shown to be just another banana republic with imperial fantasies but no weight to throw around. It has transmuted from a fabled power to a pariah dog--despised rather than feared. Putin has gone from enigmatic to pathetic. Another in a long line of pretend caesars with plenty of bark but no bite.
As the conflict now evolves into a war of attrition, things will only get worse for comrade Vladimir.
Aje ili mumfungue fuvu lake ndipo mumfanyie brain surgery [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Why did Magufuli come to Kenya?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Nimeona kuna comment umefuta, ushamba kitu mbaya sana, watanzania oneni huyu mkunya ushamba umemzidi anasema hakuna brain surgery without opening the skull [emoji3517][emoji88][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanishangaza sn, unajua cc Watz wala sio watu wa kuongea ongea, kuna huduma nyingi za kushangaza zinafanyika hapa Tz lkn hatuongei, raia wa nchi mbalimbali hapa Africa wanatoka kwao wanakuja Tz kutibiwa lkn tumekausha, ila mkuu nimecheka sana yn mtu hana taarifa kwamba dunia kwa ss kuna technology ya kufanya brain surgery bila kufungua fuvu, alafu huyo mtu anasema anasoma mambo ya afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lower your weapon broo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni uzembe wetu tu tunashindwaje it means that tumeshindwa na mambo madogo madogo makubwa tutayaweza kama vinatushinda vitu kama hivi tunavyo vidharau ndio vinafanya upatikanaji wa ajira unakuwa mgumu sio kila mradi wa serikali unakuwa na faida kwa serikali bali ni kwa ajiri ya ajira kwa wananchi wake serikali zisizo na ufikiri ndio huwaza kuvuta faida ndefu bila kuangalia manufaa kwa wananchi wakekuna watu humu walikuwa wanang'ang#ania inspections zifanyike nchini kw hali hii sijui kama tungetoboa!
Wakunya itawachukua miaka 20 kwa private hospitals zao kufika ilipo Tanzania leo na miaka 500 kwa public hospitals zao kufika zilipo za Tanzania leoWatu wameingia google ili kuona kama ni kweli mtu anaweza kufanyiwa brain surgery without opening the skull na akapona, Wakenya cc Tz kwa sasa tuko mbali sana ki technology kuanzia usafiri mpk afya, ndiyo maana Wakenya wengi na raia wote East and Central Africa wanakuja kutibiwa hapa Tz, ila yote kwa yote nimeshangaa kuona kuna mtu is not aware of this technology in this 21century[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu kachezea upper cut sahizi anaugulia maumivu mana ka Google kaona ukweli kuhusu brain surgery without opening the skull alikuwa hajui, pia kaona huduma hiyo pamoja na ile ya bonne marrow transplant zinafanyika tu Tz na c nchi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakunya itawachukua miaka 20 kwa private hospitals zao kufika ilipo Tanzania leo na miaka 500 kwa public hospitals zao kufika zilipo za Tanzania leo
Kanishangaza sn, unajua cc Watz wala sio watu wa kuongea ongea, kuna huduma nyingi za kushangaza zinafanyika hapa Tz lkn hatuongei, raia wa nchi mbalimbali hapa Africa wanatoka kwao wanakuja Tz kutibiwa lkn tumekausha, ila mkuu nimecheka sana yn mtu hana taarifa kwamba dunia kwa ss kuna technology ya kufanya brain surgery bila kufungua fuvu, alafu huyo mtu anasema anasoma mambo ya afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasisitiza muwe makini zisije zikaporomoka na kuua watu. Nawapongeza pia kama mtafanikisha kumaliza huu mradi wa 25 floors utaongeza idadi ya majengo marefu Nairoberry [emoji4][emoji4][emoji4].25 floors
Bei yake ndogo nini mkuu?Bei mkuu.
So iko shida gani kwa Tanzania kutoruhusu hii dual citizenship? Mbona kama ni chanzo kizuri cha mapato,Kama sisi wakulima huku ndg zetu wawe wanatutumia foreign currency tununulie mbolea tuongeze thamani ya mazao yetu. Au serikali inahofia kutapitishwa fedha chafu??Anayeidaharau Remittance ni mjinga wa kwanza..how can one ignore this source of income...Tz ita benefit zaidi ikiruhusu dual citizenship...Tunapokea around 450Mil usd ..sio haba
Yeye aliona ni double edged sword hakudharau bali kasema hizo skill s.mlizo export zingeweza kuwa boost zaidi
Hii speed ya ushushaji wa magari ni nzuri maana yake meli hazitakaa kusubiriana kushusha mizigo.
ππππππ Wamebaki na rose muhando katibiwa Kenya π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna mtu kachezea upper cut sahizi anaugulia maumivu mana ka Google kaona ukweli kuhusu brain surgery without opening the skull alikuwa hajui, pia kaona huduma hiyo pamoja na ile ya bonne marrow transplant zinafanyika tu Tz na c nchi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]